Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mbona kuna mtu nimemaliza nae aliitwa mahakamani kazini lakini had now anaitwa kwa usaili alizoombaga kitambo hicho

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Utofauti ni kwamba wewe hujui matokeo yako ya interview ya nyuma kwhy ukiitwa kwny interview zingine kuna mashaka kwamba hukupita, na kama mkeka ukatoka ukapita ukiomba tena ajira nyingine lazima watakuita kwasababu tyr unajijua uko wapi, lakini kwa sasa ni ngumu kwasababu hujui matokeo yako ya nyuma, na huyo unaemsemea ww tayari aliitwa kazini kwhy ana haki ya kuitwa tena.
 
Haiwezekani upate halafu wakuite tena mkuu, na kama wanafanya hvyo basi watuwa na uzembe wa hali ya juu kwa maana watakuwa wanadidimiza uchumi wako na watakuwa hawajui wanachokitafuta, kama umepata kwann wakuite tena Mkuu!?[emoji854]
kuna assistant lecturers wenzangu tulikuwa wanne kwenye interview chuo fulani mwezi uliopita na wote tena tumeitwa kwenye kikao kesho kutwa.. sasa hapo kati ya sisi wanne ina maana mmoja amepata sasa iweje tuitwe tena kwenye vikao vingine?
 
Utofauti ni kwamba wewe hujui matokeo yako ya interview ya nyuma kwhy ukiitwa kwny interview zingine kuna mashaka kwamba hukupita, na kama mkeka ukatoka ukapita ukiomba tena ajira nyingine lazima watakuita kwasababu tyr unajijua uko wapi, lakini kwa sasa ni ngumu kwasababu hujui matokeo yako ya nyuma, na huyo unaemsemea ww tayari aliitwa kazini kwhy ana haki ya kuitwa tena.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Inawezekanaje ufanye interview, usijue matokeo yako kisha uitwe tena na tena, sio kweli, ukiona unaitwa mara zote hizo ina maana interview iliyopita huenda umezingua!
sasa mkuu unabisha nini? unachobisha ndo kinatokea sahiv.. kwasababu ujue hii mikeka iliandaliwa siku nyingi.. ndo mana nimekupa mfano wa watu waliofanya oral kama nne wakiwa wao peke yao na bado hizi call for interviews bado wameitwa
 
kuna assistant lecturers wenzangu tulikuwa wanne kwenye interview chuo fulani mwezi uliopita na wote tena tumeitwa kwenye kikao kesho kutwa.. sasa hapo kati ya sisi wanne ina maana mmoja amepata sasa iweje tuitwe tena kwenye vikao vingine?
Na sisi wote tulioitwa wizara ya afya tukafika oral tumeitwa tena MNH wiki lijalo .

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Finale n uone jina kwa placement.
Mwisho wa ww kuitwa kwny usaili ni pale utakapodhibitishw kazini.
Hapo watakutoa kwasabab ww n mwajiriw unay cheque no,na umedhibitishw kazini watakutoa kwa kigezo hutapitish barua kwa mwajiri wako wakat ukiomba position yyt.
Vinginevy utaendelea kuitwa kwa interview kama kawaida.
Kesi umemaliza kaka placements ndiyo end of top

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Hivi wakiandika kuwa interview ya written ni saa Moja kamili asubuhi it means muda huo ndo uwe umeshafika au tunafika kabla ya muda huo kwaajili ya kuwaonyesha mivyeti, MSAADA PLEASE KWA WALIOWAHI FANYA ORAL[emoji120]
Fika huo muda, ni vyema ufike mapema ili kuepusha mambo mengine endapo ungechelewa.

Wewe fika mapema hata kama wao watachelewa kuanza
 
Duh
Watu wanapanikisha wenzao humu, anyways ipo hivi, kuitwa tena sio kwamba umekosa zilizopita, ukishapewa check no na kufanya kazi miezi sita ndo utaacha kuitwa. Nina marafiki zangu watatu, mmoja yupo Halmashauri ndo alipata kazi ila interview za mbele zote aliitwa alizokuwa ameapply ata baada ya kupata kazi, mwingine alipata kazi sehemu mbili, yaan tyar alikuwa ashapata pccb, ila baadae kama week mbili sijui tena, Self Microfinance wakatoa majina nako alipata akachagua tu pccb, hapo kuna rafik angu mwingine pia alikuwa ashafanya oral ya TRA ila shortlist za SELF zilipotoka Written alikuwepo na oral akafanya ila akaja itwa baadae TRA. Kwa hiyo ambao washafanya oral msiwakatishe tu tamaa et kwa kuwa bado wanaitwa means wamekosa. Hiyo account inakaa active kwa miezi 6 kwa hiyo kazi zote ulizoapply utaendelea kuitwa tu na kama kazi uliopo huitaki unaweza endelea fanya tu interview.
 
Hapa huu uzi naomba Modi wau pin kabisa kwenye jukwaa la ajira... baada ya miaka 10 tutakuwa tunapita humu kujikumbusha tulipotoka wagombania asali.... Mwifwa na HS CODE bila shaka mtakuwa mmeota na vitambi kwa kunyonya mirija yenye asali...

Hahaha, ni kweli kabisa Mkuu. Na kitambi sijui ni kwanini huwa kinanipenda japo sikipendi. Huwa natumia nguvu nyingi sana kukikataa.
 
Duh
Watu wanapanikisha wenzao humu, anyways ipo hivi, kuitwa tena sio kwamba umekosa zilizopita, ukishapewa check no na kufanya kazi miezi sita ndo utaacha kuitwa. Nina marafiki zangu watatu, mmoja yupo Halmashauri ndo alipata kazi ila interview za mbele zote aliitwa alizokuwa ameapply ata baada ya kupata kazi, mwingine alipata kazi sehemu mbili, yaan tyar alikuwa ashapata pccb, ila baadae kama week mbili sijui tena, Self Microfinance wakatoa majina nako alipata akachagua tu pccb, hapo kuna rafik angu mwingine pia alikuwa ashafanya oral ya TRA ila shortlist za SELF zilipotoka Written alikuwepo na oral akafanya ila akaja itwa baadae TRA. Kwa hiyo ambao washafanya oral msiwakatishe tu tamaa et kwa kuwa bado wanaitwa means wamekosa. Hiyo account inakaa active kwa miezi 6 kwa hiyo kazi zote ulizoapply utaendelea kuitwa tu na kama kazi uliopo huitaki unaweza endelea fanya tu interview.

Mkuu, hii komenti yako imenipa amani sana. Saili za kipindi kilichopita kuna jamaa alinielezeaga kesi yake nimsaidie ushauri nikashindwa kumjibu.

Ni hivi, kwa kuwa ana leseni ya udereva na cheti cha NIT, akaona aiombe nafasi ya udereva aingie kwanza kwenye mrija kisha atabadili gia angani. Na kweli akaitwa kwenye usaili, shida yake ni akawa na hofu, asijekupata kazi ya udereva ikamzuia kwa muda kupata kazi nyingine ya taaluma yake. Alipoona hapati mtu mwenye majibu ya uhakika akaikwepa na interview ambayo kwa sehemu kubwa kwa vigezo vyake anaamini angeipata.

Shida iliyopo hata hizo nafasi za taaluma yake alipoitwa alivurunda kwenye mitihani akakosa kazi. Kwa sasa japo anaendelea kuhudhuria saili nyingine, ila anaikumbuka sana nafasi ya udereva.

Kumbe ukweli ni kwamba mtu ataendelea kuitwa kwa kipindi cha miezi sita na anaweza kupata kazi zaidi ya moja zimtake yeye kuchagua anayoitaka!
 
Back
Top Bottom