Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Shortlist tu bado mkuu kwa zile post za tutors, walifanya usaili kwa post za vocational teachers na assistant vocational teacher,bado tunasubiri shortlist mkuuToka June mzee hawajahita tu raia aisee karibia miezi 5 ..hv bro wenzako ulifanyanao nao wanasubria, au huenda wengne washapigiwa simu Doubleg Malafyale
Kwanza kabisa update shule ya kada yako.Inspector
😂😂😂😂Nilifika kaka sijui hata nilifaulu vipiUlifika oral kwanza? tuanzie hapa
Passport size not uploaded...na kwenye profile passport size ipo. Kweli kama haijapangwa haijapangwa tu.
Passport yako kwenye background Kuna nini??na hyo pcha inaonesha mpaka kiuno?kama imefika kiunoni hyo sio pasportPassport size not uploaded...na kwenye profile passport size ipo. Kweli kama haijapangwa haijapangwa tu.
Ni passport official ina pazia lile la blue. Na saiv wanajua wamezima simu ya kazi...haipatikani.Passport yako kwenye background Kuna nini??na hyo pcha inaonesha mpaka kiuno?kama imefika kiunoni hyo sio pasport
Wapigie kesho saa4 watumie na email wataweka jina lakoNi passport official ina pazia lile la blue. Na saiv wanajua wamezima simu ya kazi...haipatikani.
Shukrani kwako mkuuWapigie kesho saa4 watumie na email wataweka jina lako
Hisia hazijawahi kumuacha jobless 🤣🤣Hii jumanne nahisi inataka kuwa nzuri
Tafadhali hapa jobless niachie Sasa nijidai usianze kutoa msaada mapema utani overtake🤣🤣🤣Wapigie kesho saa4 watumie na email wataweka jina lako
Piga kesho Sasa tumeshatoka Kazini kesho tutapokea simu tukusaidie shida Yako😅😅Shukrani kwako mkuu
Tusubiri mpka saa tatuHii jumanne nahisi inataka kuwa nzuri
Mtakuja opoa chura kudhani samaki🤣🤣 hivi avatar nyingine zimekaa kimkakati sana 🤣🤣Tafadhali hapa jobless niachie Sasa nijidai usianze kutoa msaada mapema utani overtake🤣🤣🤣
😂😂😂😂Kijana wa hovyo sana ukipata Subaru utatupa lift kweli???Piga kesho Sasa tumeshatoka Kazini kesho tutapokea simu tukusaidie shida Yako😅😅
😂😂😂😂Hii avatar inataka uishie kitaalamu sana hahhhMtakuja opoa chura kudhani samaki🤣🤣 hivi avatar nyingine zimekaa kimkakati sana 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Wewe nishapata story zako unaedanga pm unakuja hapa kutuzungukaMtakuja opoa chura kudhani samaki🤣🤣 hivi avatar nyingine zimekaa kimkakati sana 🤣🤣
🤣🤣🤣 kuna makini bro usije opoa chura ukakimbia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wewe nishapata story zako unaedanga pm unakuja hapa kutuzunguka
Aisee....kweli kila.mtu ana zamu yake bossPiga kesho Sasa tumeshatoka Kazini kesho tutapokea simu tukusaidie shida Yako😅😅