Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Toka June mzee hawajahita tu raia aisee karibia miezi 5 ..hv bro wenzako ulifanyanao nao wanasubria, au huenda wengne washapigiwa simu Doubleg Malafyale
Shortlist tu bado mkuu kwa zile post za tutors, walifanya usaili kwa post za vocational teachers na assistant vocational teacher,bado tunasubiri shortlist mkuu
 
Back
Top Bottom