Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu mimi nliombaga posts Fulani ambazo Kuna position zinmetoka juz kati nlikuwa shortlisted ila za Leo nmetemwa hata sijui tatizo ni nini ?maana hata kwenye account Bado hawajaweka sababu ya kutokuwa shortlisted


Au ndo Ile tusubirie majina ya nyongeza🤔
 
Naomba kama kuna namba ya simu inayojulikana inapatikana utuwekeee hapa mkuu sababu hata me nimetemwa mkeka wa muhimbili ilihali kila kitu nimekamikisha na nishaitwa interview kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…