Yaani ili swali uwa na nililinganisha na swali. " why should we hire u?" Uoneshe tofauti na wengine hata ukitoa points 3 ukalezea jinsi ya kusolve/kukabiliana nayo unaonesha kitu cha tofauti kuliko kumention tu zote 5 ukasepa ss wote tukimention 5 si tunaonekana ngoma droo ,ila ikionesha kitu cha tofauti kinakubeba sana pamoja na mapungufu uliyonayoMkuu swali la challenge linatubeba sana mzee na ukitoa na solution ujue umefaulu mzee kwasababu unaajiriwa ili usolve matatizo kazini
[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] jobless anahasira balaa , anataka kutoa ushahidi kwa wenzake kibabe kuhusu status nazan [emoji1787][emoji1787][emoji1787]OYA UKISHAANZA KAZI UNIAMBIE maana Kuna watu wanataka kunitania mamaeeee zao
OYA UKISHAANZA KAZI UNIAMBIE maana Kuna watu wanataka kunitania mamaeeee zao
ADEM,IAE,IFM is loading....Nahisi halafu ya placement
May it please you, your honour my name is prok, prosecutor....Nmewamiss[emoji4][emoji3059][emoji3061]
MNMA, UDOM, CBE, DIT, loading...ADEM,IAE,IFM is loading....
Nmewamiss[emoji4][emoji3059][emoji3061]
Si tulikubaliana placement ni j4 tu[emoji3][emoji3][emoji3]Nahisi halafu ya placement
Niliongea na jamaaa kama wiki hivi naye analia tu Sasa nitafuta nauli nikipata nawafata huko hukoUnawasilian na Wenzako Mkuu. Mlioitwa Pmoja.
Usije Kutaa Namba Uliyowachia Hapo ofisini walituma Text na Kwako Hujaona.
Wacheck Wenzako Waulize Vip Na Kwao Ni Kimya.
Alafu Kama Upo Karibu Fanya Kuwatembelea Siku 1 Kuwauliza Kiuchokozi.
Vip Wakuu Naona Kimya Au Nilikosea No.
Wapi??Niliongea na jamaaa kama wiki hivi naye analia tu Sasa nitafuta nauli nikipata nawafata huko huko
Yaani tangu siku ile urudi mjini, ukatususa kabisa humu...Nmewamiss[emoji4][emoji3059][emoji3061]
Yes hili swali linataka uoneshe utofauti wako na wengine maana ukimention unaonekana labda umekariri lakini ukionesha na jinsi yakusolve unaonekana unaelewa unachokifanyaYaani ili swali uwa na nililinganisha na swali. " why should we hire u?" Uoneshe tofauti na wengine hata ukitoa points 3 ukalezea jinsi ya kusolve/kukabiliana nayo unaonesha kitu cha tofauti kuliko kumention tu zote 5 ukasepa ss wote tukimention 5 si tunaonekana ngoma droo ,ila ikionesha kitu cha tofauti kinakubeba sana pamoja na mapungufu uliyonayo
Anawafata veta hukoπππππ ujobless ni kama laana kaka acha kabisaWapi??
ππππ Jobless unataka kuchukua nafasi yangu kwa prok??May it please you, your honour my name is prok, prosecutor....
ππππ Jobless kabadili gia angani aseeh kaona hata jtano zitoke tuSi tulikubaliana placement ni j4 tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Jobless unapata wapi nguvu ya kuchakata?ππππ Jobless unataka kuchukua nafasi yangu kwa prok??
ππππ Jobless nae ni binadamu aseeehJobless unapata wapi nguvu ya kuchakata?
Jobless ni kula kwa macho mpaka itakapoamuliwa vimgineππππ Jobless nae ni binadamu aseeeh