Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu swali la challenge linatubeba sana mzee na ukitoa na solution ujue umefaulu mzee kwasababu unaajiriwa ili usolve matatizo kazini
Yaani ili swali uwa na nililinganisha na swali. " why should we hire u?" Uoneshe tofauti na wengine hata ukitoa points 3 ukalezea jinsi ya kusolve/kukabiliana nayo unaonesha kitu cha tofauti kuliko kumention tu zote 5 ukasepa ss wote tukimention 5 si tunaonekana ngoma droo ,ila ikionesha kitu cha tofauti kinakubeba sana pamoja na mapungufu uliyonayo
 
Unawasilian na Wenzako Mkuu. Mlioitwa Pmoja.
Usije Kutaa Namba Uliyowachia Hapo ofisini walituma Text na Kwako Hujaona.
Wacheck Wenzako Waulize Vip Na Kwao Ni Kimya.
Alafu Kama Upo Karibu Fanya Kuwatembelea Siku 1 Kuwauliza Kiuchokozi.
Vip Wakuu Naona Kimya Au Nilikosea No.
OYA UKISHAANZA KAZI UNIAMBIE maana Kuna watu wanataka kunitania mamaeeee zao
 
Unawasilian na Wenzako Mkuu. Mlioitwa Pmoja.
Usije Kutaa Namba Uliyowachia Hapo ofisini walituma Text na Kwako Hujaona.
Wacheck Wenzako Waulize Vip Na Kwao Ni Kimya.
Alafu Kama Upo Karibu Fanya Kuwatembelea Siku 1 Kuwauliza Kiuchokozi.
Vip Wakuu Naona Kimya Au Nilikosea No.
Niliongea na jamaaa kama wiki hivi naye analia tu Sasa nitafuta nauli nikipata nawafata huko huko
 
Yaani ili swali uwa na nililinganisha na swali. " why should we hire u?" Uoneshe tofauti na wengine hata ukitoa points 3 ukalezea jinsi ya kusolve/kukabiliana nayo unaonesha kitu cha tofauti kuliko kumention tu zote 5 ukasepa ss wote tukimention 5 si tunaonekana ngoma droo ,ila ikionesha kitu cha tofauti kinakubeba sana pamoja na mapungufu uliyonayo
Yes hili swali linataka uoneshe utofauti wako na wengine maana ukimention unaonekana labda umekariri lakini ukionesha na jinsi yakusolve unaonekana unaelewa unachokifanya
 
Back
Top Bottom