Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
Yaani ili swali uwa na nililinganisha na swali. " why should we hire u?" Uoneshe tofauti na wengine hata ukitoa points 3 ukalezea jinsi ya kusolve/kukabiliana nayo unaonesha kitu cha tofauti kuliko kumention tu zote 5 ukasepa ss wote tukimention 5 si tunaonekana ngoma droo ,ila ikionesha kitu cha tofauti kinakubeba sana pamoja na mapungufu uliyonayoMkuu swali la challenge linatubeba sana mzee na ukitoa na solution ujue umefaulu mzee kwasababu unaajiriwa ili usolve matatizo kazini