Mkuu, naomba uweke challenge zako hizo ambazo Huwa unajibu.. zitatusaidia sana kwanza Huwa zinafanana tu kwa kada kibao.. tiririks hapa boss kwa ufupiMkuu swali la challenge linatubeba sana mzee na ukitoa na solution ujue umefaulu mzee kwasababu unaajiriwa ili usolve matatizo kazini
Hapana zinakuwa tofauti kiongozi hazifanani kabisa kila post ina challenge zakeMkuu, naomba uweke challenge zako hizo ambazo Huwa unajibu.. zitatusaidia sana kwanza Huwa zinafanana tu kwa kada kibao.. tiririks hapa boss kwa ufupi
ππππJobless ni kula kwa macho mpaka itakapoamuliwa vimgine
Nlifika busy busy kutafuta pesa, nikizama Kariakoo asubuh nkaanza na delivery za watu kurudi nyumbani usiku nmechoka hoi, nkishaoga na kula usingizi huoo. Yaan maisha yangu yamekuwa ya mahangaiko. J3 nlijioverwork sana hadi nikaumwa ndo mpaka leo, ndo najisikia afadhali kidogo. Leo nimekaa tu nyumbani ndo nkaanza pitia message moja baada ya nyingineYaani tangu siku ile urudi mjini, ukatususa kabisa humu...
Kama upo mzima na mwenye siha njema, hilo ndio la muhimu.
Tulikutag sana hadi tukasahau kutokana na ukimya wako..
Hujapahatika kupata nafasi kwenye placement ya jana? [emoji1751]
Kuhusu placement bado, mimi nkiitwa kazin lazima nije humuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa marafiki zangu ambao tyar wapo kazin ndo wananitia pressure hapa wananambia status yako kwenye hizo post inaonesha nawaambia zote shortlisted, eti hongera dada[emoji1787]. Nkiwaza humu tulishaongelea hili swala naishia kucheka nawaambia hamjui utumishi ikiamua kukufurahisha, ili mradi tu watuchanganyeYaani tangu siku ile urudi mjini, ukatususa kabisa humu...
Kama upo mzima na mwenye siha njema, hilo ndio la muhimu.
Tulikutag sana hadi tukasahau kutokana na ukimya wako..
Hujapahatika kupata nafasi kwenye placement ya jana? [emoji1751]
Poleee aseeh umekula??au tufanye delivery ya msosiπππNlifika busy busy kutafuta pesa, nikizama Kariakoo asubuh nkaanza na delivery za watu kurudi nyumbani usiku nmechoka hoi, nkishaoga na kula usingizi huoo. Yaan maisha yangu yamekuwa ya mahangaiko. J3 nlijioverwork sana hadi nikaumwa ndo mpaka leo, ndo najisikia afadhali kidogo. Leo nimekaa tu nyumbani ndo nkaanza pitia message moja baada ya nyingine
Jiandae kuchukua barua next weekKuhusu placement bado, mimi nkiitwa kazin lazima nije humuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa marafiki zangu ambao tyar wapo kazin ndo wananitia pressure hapa wananambia status yako kwenye hizo post inaonesha nawaambia zote shortlisted, eti hongera dada[emoji1787]. Nkiwaza humu tulishaongelea hili swala naishia kucheka nawaambia hamjui utumishi ikiamua kukufurahisha, ili mradi tu watuchanganye
Shortliseted = placement sio π€£π€£Jiandae kuchukua barua next week
Shortlisted=placementShortliseted = placement sio π€£π€£
Ila mwana nishaanza kukuamini kwmba shortlisted wamefaulu ila ss kuitwa intgemea na nafasi zilizopoJiandae kuchukua barua next week
Selected for oral = mkando ndoige π€£π€£Shortlisted=placement
Shortlisted=data base sasa hapo nikuchagua upate ipiπππππikishindikana basi chagua selected for oral hahhhh
ππππBaba jeni bye bye mimi nimefanya sana oral hii ya juzi ni kama ya nne hivi haya mabadiliko ya status kwakweli zile za mwanzo hazikuwaga hivi kama hizi za asaivi kwahiyo najua Zina maana yakeIla mwana nishaanza kukuamini kwmba shortlisted wamefaulu ila ss kuitwa intgemea na nafasi zilizopo
Wale wa selected for oral akina sie tuendlee kusbri application nyingne π€£π€£
ππππAmna nyie wa IT hazibadilikagi kakaSelected for oral = mkando ndoige π€£π€£
Mmmh tumekandwa π€£ππππAmna nyie wa IT hazibadilikagi kaka
Nmecheka mimi, nmecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]Poleee aseeh umekula??au tufanye delivery ya msosi[emoji16][emoji16][emoji16]
Ofisini kwao huko makao makuu Dodoma walio niambia watanipigia simuWapi??
amna meck ipo selected for oral mzeeπππkula vitunguu swaumu Kaka vinapunguza preshaππMmmh tumekandwa π€£
Nilipita juzi pale sijui wamefunga sikuona wanafunziOfisini kwao huko makao makuu Dodoma walio niambia watanipigia simu
π€£π€£ ntavimbiwa bure nianze kujamba jamba ovyo...huu ni mkando nishaupokea π€£π€£amna meck ipo selected for oral mzeeπππkula vitunguu swaumu Kaka vinapunguza preshaππ
πππππdaaaah jobless hathaminiki sema tulete chakula Sasa tupepee ndoaππππNmecheka mimi, nmecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]