Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Mkuu, naomba uweke challenge zako hizo ambazo Huwa unajibu.. zitatusaidia sana kwanza Huwa zinafanana tu kwa kada kibao.. tiririks hapa boss kwa ufupiMkuu swali la challenge linatubeba sana mzee na ukitoa na solution ujue umefaulu mzee kwasababu unaajiriwa ili usolve matatizo kazini