Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaani tangu siku ile urudi mjini, ukatususa kabisa humu...

Kama upo mzima na mwenye siha njema, hilo ndio la muhimu.

Tulikutag sana hadi tukasahau kutokana na ukimya wako..

Hujapahatika kupata nafasi kwenye placement ya jana? [emoji1751]
Nlifika busy busy kutafuta pesa, nikizama Kariakoo asubuh nkaanza na delivery za watu kurudi nyumbani usiku nmechoka hoi, nkishaoga na kula usingizi huoo. Yaan maisha yangu yamekuwa ya mahangaiko. J3 nlijioverwork sana hadi nikaumwa ndo mpaka leo, ndo najisikia afadhali kidogo. Leo nimekaa tu nyumbani ndo nkaanza pitia message moja baada ya nyingine
 
Kuhusu placement bado, mimi nkiitwa kazin lazima nije humuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa marafiki zangu ambao tyar wapo kazin ndo wananitia pressure hapa wananambia status yako kwenye hizo post inaonesha nawaambia zote shortlisted, eti hongera dada[emoji1787]. Nkiwaza humu tulishaongelea hili swala naishia kucheka nawaambia hamjui utumishi ikiamua kukufurahisha, ili mradi tu watuchanganye
 
Poleee aseeh umekula??au tufanye delivery ya msosi😁😁😁
 
Kuhusu placement bado, mimi nkiitwa kazin lazima nije humuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa marafiki zangu ambao tyar wapo kazin ndo wananitia pressure hapa wananambia status yako kwenye hizo post inaonesha nawaambia zote shortlisted, eti hongera dada[emoji1787]. Nkiwaza humu tulishaongelea hili swala naishia kucheka nawaambia hamjui utumishi ikiamua kukufurahisha, ili mradi tu watuchanganye
Jiandae kuchukua barua next week
 
Ila mwana nishaanza kukuamini kwmba shortlisted wamefaulu ila ss kuitwa intgemea na nafasi zilizopo
Wale wa selected for oral akina sie tuendlee kusbri application nyingne 🤣🤣
😂😂😂😂Baba jeni bye bye mimi nimefanya sana oral hii ya juzi ni kama ya nne hivi haya mabadiliko ya status kwakweli zile za mwanzo hazikuwaga hivi kama hizi za asaivi kwahiyo najua Zina maana yake
 
Back
Top Bottom