Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kaka manzi wanapewaga kipaumbele sana Mimi nikishakuwa na manzi kwenye oral huwa najua hapa mwendo nimeumaliza
 
Kwa sisi hapa tulikua wadada watatu kati ya 6, nafasi zilikua ni mbili, kada ya Laboratory Scientist. Eti probability unaona imekaa vipi hapo aisee[emoji28]
Laboratory scientist sizilikuwa nne kila post au??
Hapo wanachukuliwa wadada wote
 
Mimi sijui kwa kweli, sina idea na hivi vitu. Hawa marafiki zangu ni tyar wapo kazin
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahaha! Acha kabisa Mkuu, yani Jf kila kitu mtu anaweza akakifanya feki, kuanzia jina mpaka picha ila cha ajabu kuna watu wana fall in love hivyo hivyo.

Sasa unajiuliza huyu hasa amekuwa amependa nini?

Kibaya zaidi mwisho wa picha anakuja gundua kumbe ni mwanaume mwenzie, uwekezaji wake unaishia hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Status yako ipo shortlisted Kaka wewe jiandae kufata barua

Ila wizy inabidi tuongee vizuri, haiwezekani kila usaili wewe unafanikiwa kufika mpaka Oral, hebu tupe siri Mkuu.

Maana Mdogo wangu pamoja na kumuamini yuko smart sana lakini mpaka sasa ameenda interview mbili na zote ameanguka vibaya sana.
 
Kuna jaama alipata pale haikuandika shortlisted ilibaki selected for oral kwahiyo nikaconclude zile za vyuo huwa hazifati hatua zote kama za utumishi
Kwa hyo taasisi za vyuo kama IFM,DIT,CBE,TIA, ndio zinabadilika sio???[emoji23][emoji23]Halaf vyuo vikuu Kama ,UD,ARDHI,DUCE, MUCO,MUST ndio hazibadiliki Sio ?? Au ni 50/50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji28][emoji28] wizy
 
Ila wizy inabidi tuongee vizuri, haiwezekani kila usaili wewe unafanikiwa kufika mpaka Oral, hebu tupe siri Mkuu.

Maana Mdogo wangu pamoja na kumuamini yuko smart sana lakini mpaka sasa ameenda interview mbili na zote ameanguka vibaya sana.
Maandalizi tu kabla ya hizi nilifeli huko mwanzo nikajifunza kitu
 
Kwa hyo taasisi za vyuo kama IFM,DIT,CBE,TIA, ndio zinabadilika sio???[emoji23][emoji23]Halaf vyuo vikuu Kama ,UD,ARDHI,DUCE, MUCO,MUST ndio hazibadiliki Sio ?? Au ni 50/50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji28][emoji28] wizy
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Chamuhimu uhai Kaka status zitatuua hizi
 
Ila wizy inabidi tuongee vizuri, haiwezekani kila usaili wewe unafanikiwa kufika mpaka Oral, hebu tupe siri Mkuu.

Maana Mdogo wangu pamoja na kumuamini yuko smart sana lakini mpaka sasa ameenda interview mbili na zote ameanguka vibaya sana.
Kila mtu na bahati yake bro ,uliposoma ndo ndo pamekubeba au vp
 
Kama hakuna status ya "employed" PDF is the answer na haina alternative.

Kupigiwa simu ni uharaka tu wa taasisi kutaka watu wake ila PDF ndio Alfa na Omega
Huwezi kuwa employed wakati hata barua hupapewa na muajiri mkuu
Unaweza kupelekwa na utumishi na taasisi ikakukaa vile vile kwahiyo huwezi kuandikiwa employed hata siku moja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ufungue tu status unakuta not selected hahhhh
Not selected/ selected for oral tunaijua tunaipata baada ya written interview , ,,mengine baada ya hapo ni unknown kabisa umetoboa au utaanzia benchi au haupo hata kweny list ya timu ww ni majeruhi wa mchezo unasubria upone urejee uwanjani[emoji23][emoji23][emoji23] ...yote majibu kikubwa kushona na kutulia na kupambana [emoji23][emoji23] wizy
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Majeruhi kama neyma hahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…