😂😂😂😂Kaka manzi wanapewaga kipaumbele sana Mimi nikishakuwa na manzi kwenye oral huwa najua hapa mwendo nimeumalizaWadada wawili na wakaka wanne pamoja na post 2 ,but zote wamechukua wadada .kwa ufupi wakaka tumekandwa yan mi niliandaa mpaka suti,moka mwamvuli pamoja na kibeg fulan amazing kwa ajili ya kubebea barua bt Mkandaj mkuu Mr Kitenge amenikanda barabara kilichobak ni kwenda machimbo tu