Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Asikate tamaa ataimprove, mpe habari zangu kuwa nishakandwa written 3 mfululizo(3 beaten in a row), ya 4 ndio nilikanda.

Huyo wizy, mwanzo pia alishakandwa.

Majority huwa tunakandwa mwanzoni ila tunafika oral kadri muda unavyozidi kwenda

Asante sana Mkuu, huwa namuelezea sana, naamini siku yake ipo.

Kuna siku nitakuja kuwapa ushuhuda humu endapo akipita angalau kwenda Oral.
 
Ila wizy inabidi tuongee vizuri, haiwezekani kila usaili wewe unafanikiwa kufika mpaka Oral, hebu tupe siri Mkuu.

Maana Mdogo wangu pamoja na kumuamini yuko smart sana lakini mpaka sasa ameenda interview mbili na zote ameanguka vibaya sana.
Kufaulu pepa za Utumishi uzoefu unahitajika zaidi kwani unajua kucheza na muda ( kujibu maswali yote kwa uharaka).

Pili, pepa za Utumishi zina ujibuji wake hutakiwa kufunguka sna, na ndio maana huwa wanagawa karatasi moja tu kwa maswali m 4 au ma 5.
 
Unafunguka una muda huo au maswali yamekuona mosses15
 
Kufaulu pepa za Utumishi uzoefu unahitajika zaidi kwani unajua kucheza na muda ( kujibu maswali yote kwa uharaka).

Pili, pepa za Utumishi zina ujibuji wake hutakiwa kufunguka sna, na ndio maana huwa wanagawa karatasi moja tu kwa maswali m 4 au ma 5.

Aisee hili ni kweli kabisa, huu ushauri nitaufikisha kama ulivyo.
 
Hii nimezifatilia sana kiongozi oral zote nilizokosa hazikuniandikia shortlisted ndo maana nasema shortlisted itakuwa labda mtu amepata au yupo database
 
Kufaulu pepa za Utumishi uzoefu unahitajika zaidi kwani unajua kucheza na muda ( kujibu maswali yote kwa uharaka).

Pili, pepa za Utumishi zina ujibuji wake hutakiwa kufunguka sna, na ndio maana huwa wanagawa karatasi moja tu kwa maswali m 4 au ma 5.
mimi ndo nitawachanganyia kingereza na kiswahili sasa,kuliko niache karatasi nyeupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…