๐๐๐๐usikubali kuacha swali mzeemimi ndo nitawachanganyia kingereza na kiswahili sasa,kuliko niache karatasi nyeupe
Napandisha pdf ya IAE tulia kwanza kijanaHivi mbona kama website ya utumishi haifunguki??
Kwahiyo umeona bora uzime mtandaoNapandisha pdf ya IAE tulia kwanza kijana
๐๐๐๐ Jobless ukipata Subaru utatugonga aseehPia naweka na call for interview ya TRA hapa mtandao unanisumbua kuupload
Nikipata muda nitarudi kukupa muongozo vizuri naamini atapita akiufataYah, hili nakubali sana Mkuu. Unawezajikuta umgusa kila eneo ila kwenye mtihani ndipo unagundua kuna sehemu ulisema haitoki ndipo mtihani ulipotungiwa.
System yenyewe hiyo huwa haitaki usumbufu wa user nikiwa naongeza walamba asaliKwahiyo umeona bora uzime mtandao
Connection ikirudi website itakuwa na mazaga kibao ya kufungia mwezi๐๐System yenyewe hiyo huwa haitaki usumbufu wa user nikiwa naongeza walamba asali
Hivi mkuu Subaru Yako utainunua Baada ya mda Gani wa kuwa Kazini maana nimeangalia bei mpka inafika mkononi ni kama 22million yana nimechanganyikiwa kabisa hapa dah๐๐๐๐ Jobless ukipata Subaru utatugonga aseeh
Ni mavitu kibao nimeyasetia na time mengine yatajipost badae usikuConnection ikirudi website itakuwa na mazaga kibao ya kufungia mwezi๐๐
๐๐๐Miaka miwili tu natakiwa niwe na Subaru kutembea kwenye jua nimechoka sasaHivi mkuu Subaru Yako utainunua Baada ya mda Gani wa kuwa Kazini maana nimeangalia bei mpka inafika mkononi ni kama 22million yana nimechanganyikiwa kabisa hapa dah
๐๐๐Unataka kujibebea jobless wa MunguNi mavitu kibao nimeyasetia na time mengine yatajipost badae usiku
Kama jana๐๐Ni mavitu kibao nimeyasetia na time mengine yatajipost badae usiku
Hapo madonda ya tumbo lazima yakuhusu huyakwepi utajibana sana Hela ya kula na Kodi juu bado ndugu dah napanga mie nikianza job ndugu niwadanganye sijaanza kupata mshahara mwaka mzima napewa posho tu jamani au niwablock?๐คฃ๐คฃ๐๐๐Miaka miwili tu natakiwa niwe na Subaru kutembea kwenye jua nimechoka sasa
Subiri tutoke game ya tunisiaKama jana๐๐
Hahahaha nafanya uvuvi hapa nishaona huu Uzi Kuna warembo wanatembelea Sasa acha nijifanye Mtu wa utumishi tu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Unataka kujibebea jobless wa Mungu
๐๐๐๐nikishanunua Subaru ndo nitawambia nimepata kaziHapo madonda ya tumbo lazima yakuhusu huyakwepi utajibana sana Hela ya kula na Kodi juu bado ndugu dah napanga mie nikianza job ndugu niwadanganye sijaanza kupata mshahara mwaka mzima napewa posho tu jamani au niwablock?๐คฃ๐คฃ
Kaka unafanya uvuvi kitaalamu sana tunaomba utuwekee hata pdf moja tu๐๐๐Hahahaha nafanya uvuvi hapa nishaona huu Uzi Kuna warembo wanatembelea Sasa acha nijifanye Mtu wa utumishi tu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐nikishanunua Subaru ndo nitawambia nimepata kazi
๐๐๐๐Hahhhh ndugu wanaanza kukuona wa muhimu sasaMie si nilipa taarifa father heeeee napigiwa simu na watu hata siwajui Shangazi wa Mjomba wa bibi sijui Nini na Nini mamaee zao Sasa hivi wananikalibisha kwenye harusi na masherehe huko hata siendi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ