Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna vijana sita nimekutana nao makulu wameingia leo Nimeongea nao wao Ni TFS Guard kesho wanaingia asha rose migilo kuchukuwa barua haina kulemba lile la stutus wanadai kwao shortlisted hadi mdaa niliyokutana nao,,,,Jobless haina kulemba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kaka tujiandae kuchukua barua na pia kukaa data base
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…