Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Screenshot_20221130-175918.jpg


MTU akingia Ajira potal kujisajiri anaweza akashangaa huku ndo nimeambiwa Kuna kazi mbona kila sehemu zero zero 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna vijana sita nimekutana nao makulu wameingia leo Nimeongea nao wao Ni TFS Guard kesho wanaingia asha rose migilo kuchukuwa barua haina kulemba lile la stutus wanadai kwao shortlisted hadi mdaa niliyokutana nao,,,,Jobless haina kulemba
😂😂😂😂😂Kaka tujiandae kuchukua barua na pia kukaa data base
 
Back
Top Bottom