Utumishi wanatupenda sana, wametufuata Hadi hukuView attachment 2433829
HahahahaNahisi kati yetu humu kuna jamaa yuko utumishi na inawezekana huwa anachangia mada ili tu kutuchezea akili.
na ndiye amepeleka ombi ofisini wafungue akaunti Jf.
Yes watakuepo humu lakini ni vizuri pia watupe miongozoNahisi kati yetu humu kuna jamaa yuko utumishi na inawezekana huwa anachangia mada ili tu kutuchezea akili.
na ndiye amepeleka ombi ofisini wafungue akaunti Jf.
Nakuombea ndugu, ikawe kheri kwako.Nimepata Costa inaenda kahama ndo nipo mlandizi naenda kuwakanda utumishi
Yes watakuepo humu lakini ni vizuri pia watupe miongozo
Dah pole sana aisee,hiki ndio kitu natoaga mfano humu msisafiri usiku jobless kuelekea kwenye usaili ni betting inakua.Mungu akufanyie wepesi bro gari ipone muendelee na safari.na kama shida ni kubwa Bora udandie usafiri mwingineKama ntafanikiwa kufika dom leo .
Sitarudia kusafiri usiku,sa hivi sa nane na dk 28 gari limeharibikia dakawa .
Nina interview saa moja kamili eh mungu nisaidie.
Unahitaji masaa 4 kasoro kufika domKama ntafanikiwa kufika dom leo .
Sitarudia kusafiri usiku,sa hivi sa nane na dk 28 gari limeharibikia dakawa .
Nina interview saa moja kamili eh mungu nisaidie.
Mpka sa hivi bado bila bilaDah pole sana aisee,hiki ndio kitu natoaga mfano humu msisafiri usiku jobless kuelekea kwenye usaili ni betting inakua.Mungu akufanyie wepesi bro gari ipone muendelee na safari.na kama shida ni kubwa Bora udandie usafiri mwingine
BalaaUnahitaji masaa 4 kasoro kufika dom
Pole sanaBalaa
Umefika wapi mkuu,ungeweza kudandia nyingine ingekua poa sana, inawezekana ukabahatika na kule wakachelewa kidogo usaili ukawahiMpka sa hivi bado bila bila
Hakuna gari inasimama mkuu kwa hapa tulipoUmefika wapi mkuu,ungeweza kudandia nyingine ingekua poa sana, inawezekana ukabahatika na kule wakachelewa kidogo usaili ukawahi
Ahsante sanaPole sana
Pole sana kaka,Mpka sa hivi bado bila bila
Kwa nini hazisimami wkt kuna gari imepata itilafu?.Hakuna gari inasimama mkuu kwa hapa tulipo
Daaah!Hakuna gari inasimama mkuu kwa hapa tulipo
Ni kweli kama rizki yake atawahi tuPole s
Pole sana kaka,
Vipi mmefanikiwa kuendelea na safari?. Nime google distance toka hapo Dakawa to Dom ni around 379 km ambapo ni sawa na masaa 5 kwa gar.
Bado una nafasi kama utapata gari private ambayo haisimami hovyo. Na mara nying kwa Utumishi kama candidates ni weng pepa ya sa 1 hufanyika hata kuanzia saa 4.
Usikate tamaa.
Mpaka sasa bado mkuuhakuna gari inasimamaPole s