Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yes watakuepo humu lakini ni vizuri pia watupe miongozo

Hahaha! Mkuu kwa miongozo ambayo huwa unatoa kuhusu watu wasome nini, nimeanza kuwa na wasiwasi na wewe.

Mbinu yako pekee ya kutuzuga tusikujue ni suala la status, mara uwapige chenga watu kwamba ni Received hawajakaa sawa unawarudisha Selected for Oral.

Tumekushtukia Mkuu.
 
Kama ntafanikiwa kufika dom leo .

Sitarudia kusafiri usiku,sa hivi sa nane na dk 28 gari limeharibikia dakawa .

Nina interview saa moja kamili eh mungu nisaidie.
Dah pole sana aisee,hiki ndio kitu natoaga mfano humu msisafiri usiku jobless kuelekea kwenye usaili ni betting inakua.Mungu akufanyie wepesi bro gari ipone muendelee na safari.na kama shida ni kubwa Bora udandie usafiri mwingine
 
Pole s
Mpka sa hivi bado bila bila
Pole sana kaka,

Vipi mmefanikiwa kuendelea na safari?. Nime google distance toka hapo Dakawa to Dom ni around 379 km ambapo ni sawa na masaa 5 kwa gar.

Bado una nafasi kama utapata gari private ambayo haisimami hovyo. Na mara nying kwa Utumishi kama candidates ni weng pepa ya sa 1 hufanyika hata kuanzia saa 4.

Usikate tamaa.
 
Ni kweli kama rizki yake atawahi tu
 
Pole s

Pole sana kaka,

Vipi mmefanikiwa kuendelea na safari?. Nime google distance toka hapo Dakawa to Dom ni around 379 km ambapo ni sawa na masaa 5 kwa gar.

Bado una nafasi kama utapata gari private ambayo haisimami hovyo. Na mara nying kwa Utumishi kama candidates ni weng pepa ya sa 1 hufanyika hata kuanzia saa 4.

Usikate tamaa.
Mpaka sasa bado mkuuhakuna gari inasimama
 
Back
Top Bottom