Polesana Mkuu. Kusafiri usiku always ni risk alternatives zinakua limited haijalishi unaenda kufany nini.Mpaka sasa bado mkuuhakuna gari inasimama
Ni kweli kaka nimejifunza hapa nasubiri kugeuza dar sina namnaPolesana Mkuu. Kusafiri usiku always ni risk alternatives zinakua limited haijalishi unaenda kufany nini.
MUHIMU: Tusafiri usiku kwa dharura kamwe isiwe kwa kusudia.
Rudi t town mzee kama mpk ss kumekucha hujapt gri huezi wahiAbilia tumepigwa butwaaView attachment 2434035View attachment 2434036
"Ujue kuwa, lililokukosa halikuwa ni lenye kukupata, na lililokusibu halikuwa ni lenye kukukosa. Ujue kuwa Nusra ipo pamoja na Subira, faraja ipo pamoja na dhiki, na kwenye uzito kuna wepesi." - Prophet MuhammadNi kweli kaka nimejifunza hapa nasubiri kugeuza dar sina namna
Kweli kabisa yote sababu ya umaskini nilihangaika sana kupata ela ya kuhudhuria usaili nimekuja pata ela sa moja nimepanda gari sa nne ."Ujue kuwa, lililokukosa halikuwa ni lenye kukupata, na lililokusibu halikuwa ni lenye kukukosa. Ujue kuwa Nusra ipo pamoja na Subira, faraja ipo pamoja na dhiki, na kwenye uzito kuna wepesi." - Prophet Muhammad
Muhimu next time ujifunze na kosa ulilolifanya leo kwa kuhakikisha unajipanga vyema katika kila hatua, pia huenda haikua riziki yako na hiyo ilikua ni sign tu.
Dah, inaumiza sana!Kweli kabisa yote sababu ya umaskini nilihangaika sana kupata ela ya kuhudhuria usaili nimekuja pata ela sa moja nimepanda gari sa nne .
Wazee tutafute pesa vuzazi vyetu visihangaike kama sisi nasikitika sana kukosa interview hii
Ila mkuu si juzi tu hapa novemver ulisema unabeba maji unalaza si chini ya 20k per day...hio pesa uliokua unapata huku save na ku budget plan kwa ajili ya interview?Kweli kabisa yote sababu ya umaskini nilihangaika sana kupata ela ya kuhudhuria usaili nimekuja pata ela sa moja nimepanda gari sa nne .
Wazee tutafute pesa vuzazi vyetu visihangaike kama sisi nasikitika sana kukosa interview hii
Mnajitahidi kupambana na statusMkando unaendelea.naona STATUS imebadilika tena.
From "SHORTLISTED" Juzi leo ngoma inasema "selected for oral" na hii ni kupitia website.goma la NAOT.
Babajeni bye bye.
Tuendelee kupambana.
Kuna situation inabidi ujishushe kwa lazima, ndio kama hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambacho huwa nachukia yani boss ni mdgo kama Mimi halafu anataka nimnynyekee mamaeeee afu hela ananilipa ya mboga tu
Huku kitaa inafikia hatua, naona aibu kusema kuwa nina degree[emoji3][emoji3][emoji3].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jobless nadhalaulika sana aseeh hahhhh
Hahahahaaa, unaomba tena huo mchongo hadi waache kure-advertiseUnasubiria placement mara Utumishi wana re-advertize mchongo wako. Aloo [emoji119]
Mzee nilifungua genge buguruni sokoni nilipata hasara ya 300k sina hamuIla mkuu si juzi tu hapa novemver ulisema unabeba maji unalaza si chini ya 20k per day...hio pesa uliokua unapata huku save na ku budget plan kwa ajili ya interview?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilikuwa kada ipi?Halafu kuna tetesu kuwa zile post za Heslb wanaohitajika ni 8 kutok kwenye vyanzo vyngu vy kuaminika
Huu uzi wetu huenda umewasukumu na wao kuja na special thread yao.Utumishi wanatupenda sana, wametufuata Hadi hukuView attachment 2433829
Mzee wa flash kamuomba Mod amuwekee tick moja kwa mojanaona wamejoin leo na wamekuwa verified
SahihiNahisi kati yetu humu kuna jamaa yuko utumishi na inawezekana huwa anachangia mada ili tu kutuchezea akili.
na ndiye amepeleka ombi ofisini wafungue akaunti Jf.
Pole sana mkuuKama ntafanikiwa kufika dom leo .
Sitarudia kusafiri usiku,sa hivi sa nane na dk 28 gari limeharibikia dakawa .
Nina interview saa moja kamili eh mungu nisaidie.
nikibadili ndo ntawachanganya vizuri,wizy utajua ni id mpya uanze kumwaga saundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu badili avatar sasa