Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mpaka sasa bado mkuuhakuna gari inasimama
Abilia tumepigwa butwaa
20221203_060109.jpg
20221203_060104.jpg
 
Ni kweli kaka nimejifunza hapa nasubiri kugeuza dar sina namna
"Ujue kuwa, lililokukosa halikuwa ni lenye kukupata, na lililokusibu halikuwa ni lenye kukukosa. Ujue kuwa Nusra ipo pamoja na Subira, faraja ipo pamoja na dhiki, na kwenye uzito kuna wepesi." - Prophet Muhammad

Muhimu next time ujifunze na kosa ulilolifanya leo kwa kuhakikisha unajipanga vyema katika kila hatua, pia huenda haikua riziki yako na hiyo ilikua ni sign tu.
 
Kweli kabisa yote sababu ya umaskini nilihangaika sana kupata ela ya kuhudhuria usaili nimekuja pata ela sa moja nimepanda gari sa nne .

Wazee tutafute pesa vuzazi vyetu visihangaike kama sisi nasikitika sana kukosa interview hii
 
Ila mkuu si juzi tu hapa novemver ulisema unabeba maji unalaza si chini ya 20k per day...hio pesa uliokua unapata huku save na ku budget plan kwa ajili ya interview?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom