Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hawawez fanya hivo wale wanajitahdi kufanya kazi nzuri ,,, hongereni Sekretarieti ya Ajira sas kidogo mnarudisha matumaini ya watu tusio na connection kwenye ajira
Kweli jamaa wanajitahdi siku hizi kama mapungufu naamini ypo kidgo....watoto wa maskini now wanapata kz serkalini bila connection yyte
 
Kweli jamaa wanajitahdi siku hizi kama mapungufu naamini ypo kidgo....watoto wa maskini now wanapata kz serkalini bila connection yyte
mkuu nahisi nishakandwa status yangu kweye web ilikua shortlisted LEO IMEBADILIKA NA KUA SELECTED FOR ORAL INTERVIEW mwanzo ilikuaga selected for oral interview ikaja SHORTLISED Imerudi oral tena halafu kwenye web SELECTED for null nishakandwa mkando ndoige
 
Jamani mliowahi kufanya oral, mliwezaje kudeal na tension ya kusubiria placements? Mimi hapa imepita wiki moja tu tokea nifanye oral yani naona naenda kuathirika kisaikolojia[emoji1787] kila saa ninawaza kama nilipita au lah..dah, ujobless huu
 
Hahaha! Yani Prok bila shaka ni mchaga, wanawake wa kichaga wanaijua pesa hatari sana.

Ukifanya mchezo unaweza kushangaa usiku wa manane ametoka ghafla bila taarifa, ukipiga simu anapokea tayari yuko kariakoo anafungasha mzigo.
Hapana mimi sio mchaga, ila ni vile tu maisha yangu ya utoto yalikuwa ya bata, wazazi walikuwepo, ikaja kama ghafla mmoja akatoweka, ikawa kama from hero to zero, tangu hapo ndo akili ilinikaa sawa[emoji23]
 
Jamani mliowahi kufanya oral, mliwezaje kudeal na tension ya kusubiria placements? Mimi hapa imepita wiki moja tu tokea nifanye oral yani naona naenda kuathirika kisaikolojia[emoji1787] kila saa ninawaza kama nilipita au lah..dah, ujobless huu
Kwanza izoeze akili yako ikubali reality kuwa hauwezi kubadili outcome ya oral..Itakavyokuwa ndivyo itakavyokuwa. Kama utapata utapata, ukikosa pia utakosa. Iko nje ya uwezo wako kwa sasa.

Second, kataa mawazo yanayokuambia hapa ulikosea so utakosa kazi, Kwani kila aliyeingia kwenye oral kuna sehemu alifanya vizuri kuna sehemu alikosea..wachache sana hutoka wakiwa wamejibu vyema asilimia zote.

Mwisho ni kiimani sasa, kama unaamini ktk Mungu na ulimuomba kabla ya kuingia kuanzia written hadi oral, basi yakatae mawazo negative. Amini Mungu ameshakupigania.

Lakini hiyo hali ya mawazo itapungua kadri siku zinavyoenda. Itafika mahala hauta worry at all. Utabaki kusubiri placements tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ