😂😂😂Kijana unatana niipoteze flash ya pdf au siohawawez fanya hivo wale wanajitahdi kufanya kazi nzuri ,,, hongereni Sekretarieti ya Ajira sas kidogo mnarudisha matumaini ya watu tusio na connection kwenye ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kijana unatana niipoteze flash ya pdf au siohawawez fanya hivo wale wanajitahdi kufanya kazi nzuri ,,, hongereni Sekretarieti ya Ajira sas kidogo mnarudisha matumaini ya watu tusio na connection kwenye ajira
Kweli jamaa wanajitahdi siku hizi kama mapungufu naamini ypo kidgo....watoto wa maskini now wanapata kz serkalini bila connection yytehawawez fanya hivo wale wanajitahdi kufanya kazi nzuri ,,, hongereni Sekretarieti ya Ajira sas kidogo mnarudisha matumaini ya watu tusio na connection kwenye ajira
mkuu nahisi nishakandwa status yangu kweye web ilikua shortlisted LEO IMEBADILIKA NA KUA SELECTED FOR ORAL INTERVIEW mwanzo ilikuaga selected for oral interview ikaja SHORTLISED Imerudi oral tena halafu kwenye web SELECTED for null nishakandwa mkando ndoigeKweli jamaa wanajitahdi siku hizi kama mapungufu naamini ypo kidgo....watoto wa maskini now wanapata kz serkalini bila connection yyte
Hebu njoo pm kwanzaJamani mliowahi kufanya oral, mliwezaje kudeal na tension ya kusubiria placements? Mimi hapa imepita wiki moja tu tokea nifanye oral yani naona naenda kuathirika kisaikolojia[emoji1787] kila saa ninawaza kama nilipita au lah..dah, ujobless huu
HayaHebu njoo pm kwanza
Hilo jicho ni lako lakini?😂😂😂Nikupe kazi chapppHaya
Kazi zingekua zinatoka kinamna hiyo ingekua noma sanaHilo jicho ni lako lakini?[emoji23][emoji23][emoji23]Nikupe kazi chappp
Jobless afu unakiburi aseeh ntakata jina hahhh😂😂😂😂Kazi zingekua zinatoka kinamna hiyo ingekua noma sana
Lakin wewe jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Prok yupo bize na biashara Yule atanifunga bureee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]basi nisamehe mkuu, nimekosa mimi, nimekosa sanaJobless afu unakiburi aseeh ntakata jina hahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mimi sio mchaga, ila ni vile tu maisha yangu ya utoto yalikuwa ya bata, wazazi walikuwepo, ikaja kama ghafla mmoja akatoweka, ikawa kama from hero to zero, tangu hapo ndo akili ilinikaa sawa[emoji23]Hahaha! Yani Prok bila shaka ni mchaga, wanawake wa kichaga wanaijua pesa hatari sana.
Ukifanya mchezo unaweza kushangaa usiku wa manane ametoka ghafla bila taarifa, ukipiga simu anapokea tayari yuko kariakoo anafungasha mzigo.
Umepoma we kadada?😂😂Lakin wewe jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
in sijui nanii's voice[emoji1787]
😂😂😂😂Hahhhh we na ndugai moja moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]basi nisamehe mkuu, nimekosa mimi, nimekosa sana
Yaan ata kama unaumwa kutoka ni lazima ukatafute pesa, nlilala tu siku mbili nkasema kama nikuangukia kariakoo ni bora nikaangukie huko tu kuliko kukosa hela[emoji1787]Umepoma we kadada?[emoji23][emoji23]
😂😂😂Mwanasheria hawezi angukaYaan ata kama unaumwa kutoka ni lazima ukatafute pesa, nlilala tu siku mbili nkasema kama nikuangukia kariakoo ni bora nikaangukie huko tu kuliko kukosa hela[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanasheria hawezi anguka
Kwanza izoeze akili yako ikubali reality kuwa hauwezi kubadili outcome ya oral..Itakavyokuwa ndivyo itakavyokuwa. Kama utapata utapata, ukikosa pia utakosa. Iko nje ya uwezo wako kwa sasa.Jamani mliowahi kufanya oral, mliwezaje kudeal na tension ya kusubiria placements? Mimi hapa imepita wiki moja tu tokea nifanye oral yani naona naenda kuathirika kisaikolojia[emoji1787] kila saa ninawaza kama nilipita au lah..dah, ujobless huu
Ikishapita mwezi na nusu unaanza kuzoeaJamani mliowahi kufanya oral, mliwezaje kudeal na tension ya kusubiria placements? Mimi hapa imepita wiki moja tu tokea nifanye oral yani naona naenda kuathirika kisaikolojia[emoji1787] kila saa ninawaza kama nilipita au lah..dah, ujobless huu