Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jamani mliowahi kufanya oral, mliwezaje kudeal na tension ya kusubiria placements? Mimi hapa imepita wiki moja tu tokea nifanye oral yani naona naenda kuathirika kisaikolojia[emoji1787] kila saa ninawaza kama nilipita au lah..dah, ujobless huu
Kudeal na stress assume umekandwa kwenye usaili,,kwa hyo tulia kula mpozo wakusubria pdf uione ,,,[emoji12][emoji12]..ukihisi umetoboa muda wote unataka uone matokeo uende kazini... fanya kama umepoteza ili hata tokeo likitoka ukiwa umekosa haumii kivile ..sio ka ulijua unatoboa halafu tokeo Litoke hujatoboa unafkria nn hapo si msongo wa mawazo....kikubwa relax
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jobless anateseka
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Jobless anateseka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jobless anatakiwa aendelee na hrkt zingine wakt akisubiria tokeo ,,jobless anatamani apate matokeo mapema ajue moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kujipanga na received au aendelee na harakati mtaani tu[emoji28][emoji28]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kusubiri placement inataka uvumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…