๐๐๐๐Leo naona naitwa kazini aseehHurufu kali mno ya placement leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Leo naona naitwa kazini aseehHurufu kali mno ya placement leo
๐๐๐๐๐๐๐๐Leo naona naitwa kazini aseeh
KabisaHuu uzi wetu huenda umewasukumu na wao kuja na special thread yao.
Sasa inabidi wawe active ili tuwaulize mambo mbalimbali. Kama hawatakuwa active basi itakuwa ni uzi usio na maana
Hahaaa wanayo mbonahahahaa utumishi hawana mapenzi ya hivyo
Jamani huyu wanguJamani mliowahi kufanya oral, mliwezaje kudeal na tension ya kusubiria placements? Mimi hapa imepita wiki moja tu tokea nifanye oral yani naona naenda kuathirika kisaikolojia[emoji1787] kila saa ninawaza kama nilipita au lah..dah, ujobless huu
Kijana wa hovyo unawaza utelezi hahhh๐๐๐๐Jamani huyu wangu
๐ฅฑ๐ฅฑ๐ฅฑ๐ฅฑPlacements zije J4 wiki ijayo
Placements zije J4 wiki ijayo
Kudeal na stress assume umekandwa kwenye usaili,,kwa hyo tulia kula mpozo wakusubria pdf uione ,,,[emoji12][emoji12]..ukihisi umetoboa muda wote unataka uone matokeo uende kazini... fanya kama umepoteza ili hata tokeo likitoka ukiwa umekosa haumii kivile ..sio ka ulijua unatoboa halafu tokeo Litoke hujatoboa unafkria nn hapo si msongo wa mawazo....kikubwa relaxJamani mliowahi kufanya oral, mliwezaje kudeal na tension ya kusubiria placements? Mimi hapa imepita wiki moja tu tokea nifanye oral yani naona naenda kuathirika kisaikolojia[emoji1787] kila saa ninawaza kama nilipita au lah..dah, ujobless huu
๐๐๐๐๐๐๐Kudeal na stress assume umekandwa kwenye usaili,,kwa hyo tulia kula mpozo wakusubria pdf uione ,,,[emoji12][emoji12]..ukihisi umetoboa muda wote unataka uone matokeo uende kazini... fanya kama umepoteza ili hata tokeo likitoka ukiwa umekosa haumii kivile ..sio ka ulijua unatoboa halafu tokeo Litoke hujatoboa unafkria nn hapo si msongo wa mawazo....kikubwa relax
๐๐Na ukute ni boy shababiKijana wa hovyo unawaza utelezi hahhh๐๐๐๐
๐๐๐ Jobless anatesekaKudeal na stress assume umekandwa kwenye usaili,,kwa hyo tulia kula mpozo wakusubria pdf uione ,,,[emoji12][emoji12]..ukihisi umetoboa muda wote unataka uone matokeo uende kazini... fanya kama umepoteza ili hata tokeo likitoka ukiwa umekosa haumii kivile ..sio ka ulijua unatoboa halafu tokeo Litoke hujatoboa unafkria nn hapo si msongo wa mawazo....kikubwa relax
Huyo ni manzi ๐๐๐๐๐Na ukute ni boy shababi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jobless anatakiwa aendelee na hrkt zingine wakt akisubiria tokeo ,,jobless anatamani apate matokeo mapema ajue moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kujipanga na received au aendelee na harakati mtaani tu[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] Jobless anateseka
๐๐๐๐Kusubiri placement inataka uvumilivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jobless anatakiwa aendelee na hrkt zingine wakt akisubiria tokeo ,,jobless anatamani apate matokeo mapema ajue moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kujipanga na received au aendelee na harakati mtaani tu[emoji28][emoji28]
๐๐๐๐Hahhhhh nawazingua tu kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kuona status yako sio ,[emoji1787][emoji1787]wizy