@Ahmet Kawa mpolee sahvi anasubria tokeo maana utamkuta IG anawauliza tokeo la ss wa septemba lini.... Na aliahidi akitoboa atakuja kutupa feedback au ushuhuda kuanzia alipoomba mpka kupangiwa [emoji846] jamani tuendelee kusikilizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh nawazingua tu kaka
😂😂😂😂haya mambo sio poa@Ahmet Kawa mpolee sahvi anasubria tokeo maana utamkuta IG anawauliza tokeo la ss wa septemba lini.... Na aliahidi akitoboa atakuja kutupa feedback au ushuhuda kuanzia alipoomba mpka kupangiwa [emoji846] jamani tuendelee kusikilizia
Kaka unatutisha😂😂😂wanangu wa selected for oral baba jeni bye bye
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]tayari nimeshakandwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Soma huko
😂😂😂😂haya mambo sio poa
Na hizi status ndio zinanitoa mchezoni kabisaa, acha niwe mpole tu@Ahmet Kawa mpolee sahvi anasubria tokeo maana utamkuta IG anawauliza tokeo la ss wa septemba lini.... Na aliahidi akitoboa atakuja kutupa feedback au ushuhuda kuanzia alipoomba mpka kupangiwa [emoji846] jamani tuendelee kusikilizia
walichonifanya huko sina hamu naoHahaha. Mkuu ukitoka tu kwenye usaili naomba unitumie ujumbe Pm ili tujadili mtihani ulikuwaje huko?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] his code uko wapi nakuita hukuHebu njoo pm kwanza
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]aisee poleniJamani huyu wangu
NOT SELECTED for null🤔
😂😂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]aisee poleni
Pole sana mkandwaji[emoji3][emoji3]Hapana mimi sio mchaga, ila ni vile tu maisha yangu ya utoto yalikuwa ya bata, wazazi walikuwepo, ikaja kama ghafla mmoja akatoweka, ikawa kama from hero to zero, tangu hapo ndo akili ilinikaa sawa[emoji23]
Nimeanza kuvutiwa sasa kufika huko K/koo ulipo ili nije nimfanyie Junior wangu kashopping[emoji1787][emoji1787]Yaan ata kama unaumwa kutoka ni lazima ukatafute pesa, nlilala tu siku mbili nkasema kama nikuangukia kariakoo ni bora nikaangukie huko tu kuliko kukosa hela[emoji1787]
Pole sana, matokeo lini?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]tayari nimeshakandwa
Lazima upate vitu vya kutosha halafu bei cheeeNimeanza kuvutiwa sasakika huko K/koo ulipo ili nije nimfanyie Junior wangu kashopping[emoji1787][emoji1787]
nilifanya zote written na oralUlifanya oral pekee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh nimeamini kumbe hata vijana wa hovyo wanazeeka aseeh kaka umejipigia pande au sio?
Hebu njoo pm kwanza