Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh nawazingua tu kaka
@Ahmet Kawa mpolee sahvi anasubria tokeo maana utamkuta IG anawauliza tokeo la ss wa septemba lini.... Na aliahidi akitoboa atakuja kutupa feedback au ushuhuda kuanzia alipoomba mpka kupangiwa [emoji846] jamani tuendelee kusikilizia
 
😂😂😂😂haya mambo sio poa
 
Na hizi status ndio zinanitoa mchezoni kabisaa, acha niwe mpole tu
 
Hapana mimi sio mchaga, ila ni vile tu maisha yangu ya utoto yalikuwa ya bata, wazazi walikuwepo, ikaja kama ghafla mmoja akatoweka, ikawa kama from hero to zero, tangu hapo ndo akili ilinikaa sawa[emoji23]
Pole sana mkandwaji[emoji3][emoji3]
 
Yaan ata kama unaumwa kutoka ni lazima ukatafute pesa, nlilala tu siku mbili nkasema kama nikuangukia kariakoo ni bora nikaangukie huko tu kuliko kukosa hela[emoji1787]
Nimeanza kuvutiwa sasa kufika huko K/koo ulipo ili nije nimfanyie Junior wangu kashopping[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom