Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

@ahmet ujue tunakusubria utupe Madini ya experience yako ya oral ss majobless tujifunze ulisema usiku tunakusubria kk wizy makini kukusikiliza
Wakuu, Kuna mengi yanayokufanya utoboe oral ila ni vitu vya kawaida tu
+Vaa vizuri
+Jiandiae kupresent topic flani katika field ulioombea kama hii ni teaching post
+Andaa material utayopresent katika mpangilio mzuri
+Unaweza ukapewa computer uandike slides au hata karatasi uandike notes Kwa mkono
+Ondoa hofu na jibu kila swali
+Kama swali hujalielewa waambie walifafanue
+Jiandae kuuliza swali ambalo litakuongezea credit
+Jabu kila swali
+Matumizi ya body language and gestures ni muhimu
+Fafanua points zako Kwa ufupi
N.k.
 
Mwenye kuona ameona na mwenye kusikia na asikie nakutakia utumishi mwema kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ