moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
Nyoo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mimi kidume weweHii waoooh sio yakiume aseeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyoo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mimi kidume weweHii waoooh sio yakiume aseeh[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Hahhhh pepa za utumishi kama Vita aseeh sema matokeo yakitoka ndo hauta amini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me mwenyewe sijiamini amin kwa nilichokifanya kule
afu balozi nilikuona jana bana[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hakika wizy yani nahisi wewe ni mtu wa utumishi👏👏👏👏Umeamini maneno yangu??ukawe mtumishi mwema kaka
😂😂😂😂Nakuja pm aseeh hamnaga Nyooo yakiumeNyoo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mimi kidume wewe
😂😂😂😂Kaka ishi vizuri na watu aseehHakika wizy yani nahisi wewe ni mtu wa utumishi
nimeona ya madereva hapa,ufaulu umenitia mashaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh pepa za utumishi kama Vita aseeh sema matokeo yakitoka ndo hauta amini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuja pm aseeh hamnaga Nyooo yakiume
😂😂😂😂Umefanya post gani mkuu??Uwiiii
Mm tangu post yako ya kwanza humu nili jua hvyo na ndio maana nilikuwa kimya tu nawachora.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]nawewe umeungana nao
Umefanya post gani bibie?😂😂😂nimeona ya madereva hapa,ufaulu umenitia mashaka
Asante sanaWaooh hongera sana jaman
Mwambie aje pm sasa ujobless umeisha usikae kizembe Kaka😂😂😂😂😂hahhhAsante sana
Wakuu, Kuna mengi yanayokufanya utoboe oral ila ni vitu vya kawaida tu@ahmet ujue tunakusubria utupe Madini ya experience yako ya oral ss majobless tujifunze ulisema usiku tunakusubria kk wizy makini kukusikiliza
Hahaaa unajuaje kama sijazama PMMwambie aje pm sasa ujobless umeisha usikae kizembe Kaka😂😂😂😂😂hahhh
Vipi sehemu ya placement kwenye app, wameandika chochote?Asante sana
Mwenye kuona ameona na mwenye kusikia na asikie nakutakia utumishi mwema kakaWakuu, Kuna mengi yanayokufanya utoboe oral ila ni vitu vya kawaida tu
+Vaa vizuri
+Jiandiae kupresent topic flani katika field ulioombea kama hii ni teaching post
+Andaa material utayopresent katika mpangilio mzuri
+Unaweza ukapewa computer uandike slides au hata karatasi uandike notes Kwa mkono
+Ondoa hofu na jibu kila swali
+Kama swali hujalielewa waambie walifafanue
+Jiandae kuuliza swali ambalo litakuongezea credit
+Jabu kila swali
+Matumizi ya body language and gestures ni muhimu
+Fafanua points zako Kwa ufupi
N.k.
😂😂😂😂HahhhhHahaaa unajuaje kama sijazama PM
Wakikuandikia 1 si vizuri pia??Vipi sehemu ya placement kwenye app, wameandika chochote?