Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahahaa.Nmecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tahadhari kabla ya hatari ni muhimu kuzingatiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa.Nmecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuja kutupa ushuhuda ukitoboa kk, ss wengne tunaendelea kujifunza ili kweny received tukienda tuakikishe kwa kiasi kikubwa tumepunguza makosaHii inasikitisha sana
Eeh Mungu nufanye niwe wa kwanz kuitwa kwenye placement nikiwa na NOT SELECTED kwenye app.
Bro unataka APP , nenda play store andika ajira portal,, zen ni wakt wako ss uangalie maajab ya APP [emoji28][emoji28]Naomba link ya ku download hii app. Au inapatikana wapi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Asante sana boss mkubwa.
Kwa watu tuliopata bahati ya kujifunza mambo mbali mbali nchini Cuba, tumeelewa kwamba kwa sasa uko na mtu na ana unampa amani ya hali ya juu.
Kaka wizy, naomba kukujulia hali huko uliko.
😂😂😂😂Kaka nimepata mfadhaiko sana huku niliko kumbe jimbo halipo wazi aseeh mgombea yupo na ananguvu kweli kweli ,sasa chakujifia nini 😂😂Asante sana boss mkubwa.
Kwa watu tuliopata bahati ya kujifunza mambo mbali mbali nchini Cuba, tumeelewa kwamba kwa sasa uko na mtu na ana unampa amani ya hali ya juu.
Kaka wizy, naomba kukujulia hali huko uliko.
👏👏👏👏Umeamini maneno yangu??ukawe mtumishi mwema kakaAsubuhi in sha Allah nitatoa ushuhuda wa status
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka nimepata mfadhaiko sana huku niliko kumbe jimbo halipo wazi aseeh mgombea yupo na ananguvu kweli kweli ,sasa chakujifia nini [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Hahhhh Kaka nipo nitapotelea wapi sasawizy kapotelea wap na status zake [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Kaka suti yangu imechanika na pasi hahhhh nakuombea hatua inayofata ukawe mtumishi mwemaAsante Sana inabidi niazime suti ya wizy
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi...wakat wako utafika na hutaamin!..muhim ni dua kila kitu kinawezekana!!Hii inasikitisha sana
Eeh Mungu nufanye niwe wa kwanz kuitwa kwenye placement nikiwa na NOT SELECTED kwenye app.
1.Explain how technology factor influence marketingWazee wa ASA, leteni mrejesho wa kukandana, marketing officer vipi huko, maswali yalikuwahe?
Aisee, hii pepa imesimama, ningewahi zangu nane nane, mapema.1.Explain how technology factor influence marketing
2.Explain the steps in marketing research
3.Marketer what are your social responsibility to customer
4.Explain the components of marketing information systems(MIS)
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Taasisi Gani mkuuHii inasikitisha sana
Eeh Mungu nufanye niwe wa kwanz kuitwa kwenye placement nikiwa na NOT SELECTED kwenye app.
Ukiwa na usaili ujipange sawasawa jamaa wanatoa vitu unavyochukulia kawaida SanaAisee, hii pepa imesimama, ningewahi zangu nane nane, mapema.
Hizi interview za written zinataka usome sana Tena sanaUkiwa na usaili ujipange sawasawa jamaa wanatoa vitu unavyochukulia kawaida Sana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Na hapo ni 40 min duh 🤦♂️Aisee, hii pepa imesimama, ningewahi zangu nane nane, mapema.
Hahahaha, point za kuandika hauwez kosa ila sasa wao wanataka za kwao jinsi zilivyo, ila hapo ningeanza kufikiria point za kujaza(hizo za kufikiria ndiyo ushajichimbia kaburi mapema)Na hapo ni 40 min duh 🤦♂️
Nakazia hapaHizi interview za written zinataka usome sana Tena sana