Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Bila shaka upo any time huko, nikipata chance nitazungukia.

Ila tukikutana bila kujuana isipokuwa kwa kuhisiana tu kama siku ile ya mkando, si itakuwa poa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], maana wazee wa utelezi akina wizy najua watanivamia niwape koneksheni ya kumnasa mnyumbuaji wa PGO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nmecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.

Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.

Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Kwenye app ilikuaa inasomaje mpaka sasa?!
 
Back
Top Bottom