Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwanaume wangu anaweza shuhudia hilo. Kila kitu kina nafasi ake na tunasaidiana[emoji23]

Asante sana boss mkubwa.

Kwa watu tuliopata bahati ya kujifunza mambo mbali mbali nchini Cuba, tumeelewa kwamba kwa sasa uko na mtu na ana unampa amani ya hali ya juu.

Kaka wizy, naomba kukujulia hali huko uliko.
 
Ameen na nawaombea ambao hawajapata wapate wote
Hongera sana,na hii kutoa feedback nimeipenda kwani inawa-inspire na ku-encourage wenzio kujiamini,kupambana huku wakiwa confident kuwa Kupata kazi kupitia PSRS siyo lazima uwe na the so called 'know who',Bali ni weledi,juhudi za mhusika katika maandalizi huku ukimtanguliza Mungu mbele ambaye hutoa ridhiki majira yake yakifika
 
Mimi nilfanya oral tu...baada ya mda kwenye app ikaandka selected for null na Web ikabaki shortlisted...Imetoka pdf nimo!
Oral mlifanya wangap kiongoz? Na kabla haijaandika selected for null kwenye app awali ilikuaje?!
 
Oral tulifanya watu tisa nafasi moja...kabla ilkua Shortlisted..Niliwacheck watu 3 ambao nlifanya nao wao baada ya kuchange kua SELECTED...wao waliekewa NOT SELECTED
Kwahyo ukiona kweny APP Not selected for null ni mkando NDOIGE, uenda upo benchi/kanzidata [emoji23][emoji23][emoji23],,ila ukiona selected for null kweny APP uenda umekula mchongo.... yote kwa yote subria placement uone yaliyomo yamo au hola
 
Hii inasikitisha sana
Eeh Mungu nufanye niwe wa kwanz kuitwa kwenye placement nikiwa na NOT SELECTED kwenye app.
 
Hongera sana,na hii kutoa feedback nimeipenda kwani inawa-inspire na ku-encourage wenzio kujiamini,kupambana huku wakiwa confident kuwa Kupata kazi kupitia PSRS siyo lazima uwe na the so called 'know who',Bali ni weledi,juhudi za mhusika katika maandalizi huku ukimtanguliza Mungu mbele ambaye hutoa ridhiki majira yake yakifika
Yeah watu wanadanganyana sana Kuhusu kupata kazi, mfano pale taasisi wahitimu wao walikuwa wengi sana lakini almost wote walikandwa na watu kutoka vyuo vyengine ndio wamepata nafasi
 
Back
Top Bottom