Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure atueleze na kwa upande wa app.Kongole sana Mwandu. Ila natamani upatapo muda utupe experience na kwenye app kunasemaje, hususani kipengele cha Placement umeandikiwaje.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wizy alisema napambana utadhani napigania Uhuru wa nchi[emoji3][emoji3]
Mwanaume wangu anaweza shuhudia hilo. Kila kitu kina nafasi ake na tunasaidiana[emoji23]Hahaha! Sawa Mkuu, ila punguza kidogo kasi, mwanamke akishaijua pesa na mbinu za kuipata, basi tena huwa haioni thamani ya kujishusha mbele ya mwanaume.
Nmecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka upo any time huko, nikipata chance nitazungukia.
Ila tukikutana bila kujuana isipokuwa kwa kuhisiana tu kama siku ile ya mkando, si itakuwa poa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], maana wazee wa utelezi akina wizy najua watanivamia niwape koneksheni ya kumnasa mnyumbuaji wa PGO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jaman congratulations sana sana. God is so good. All the best[emoji4]Wizy alisema napambana utadhani napigania Uhuru wa nchi[emoji3][emoji3]
Kwenye app ilikuaa inasomaje mpaka sasa?!Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.
Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.
Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Hongera sana mkuu, nasi wengine tunasubiri zamu zetu! Mungu akuongoze katika utumishi wakoThank you my Lord,
Thank you Allah
Thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Alhamdulillah,ma Sha Allah..hongera Sana aiseeThank you my Lord,
Thank you Allah
Thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
BadoUshakata tiketi mkuuu ya Asha rose migilo😂😂😂😂
Sawa nadhan nitapata muda usikuNajuaa una hekaheka lkn ,kutusaidia experience yako itatusaidia sana majobless siku za usoni
Ameen na nawaombea ambao hawajapata wapate woteHongera sana mkuu, nasi wengine tunasubiri zamu zetu! Mungu akuongoze katika utumishi wako
Asante mkuuAlhamdulillah,ma Sha Allah..hongera Sana aisee
Yeah maana hao walianza kufanya interviewNext ADEM,DIT,Mwalimu nyerere,mweka....tuendelee na uvumilivu wale wanaosbria mkeka wa placement
Asante, hahaha but umelijuaje ilo jina la ukooKongole sana Mwandu. Ila natamani upatapo muda utupe experience na kwenye app kunasemaje, hususani kipengele cha Placement umeandikiwaje.
Thank you dada prokJaman congratulations sana sana. God is so good. All the best[emoji4]
Selected for null Hadi sasaKwenye app ilikuaa inasomaje mpaka sasa?!