Pole mkuu ndo ukubwa😂😂😂ngoja kichwa kitulie kwanza,nimevurugwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu ndo ukubwa😂😂😂ngoja kichwa kitulie kwanza,nimevurugwa
Kesho mnaamka na matokeo ili wa kusafiri waanze mapema.hawajasema ila oral ni tarehe 7
Status mpaka Sasa hazina majibu ya uhakika..nakazia kwenye ushauri uliotolewa siku za awali..msubiri pdfIliandika selected for null na nafasi ilikuwa moja kapata mtu mwingine
Hii waoooh sio yakiume aseeh😂😂😂Waooh hongera sana jaman
Sawa kwahiyo not selected nae asubiri?😂😂😂😂😂Status mpaka Sasa hazina majibu ya uhakika..nakazia kwenye ushauri uliotolewa siku za awali..msubiri pdf
Asubiri bila shidaSawa kwahiyo not selected nae asubiri?😂😂😂😂😂
Sawa sawa upo data base labdaS
Iliandika shortlisted ila siku tatu hizi imebadilika ipo selected for oral
Mm hakuna mabadiliko tangu ilivyochange ile majuz nafkr.😂😂😂We chungulia tu utaona mabadiliko hahhh
Yes sema tulishafanya kwa nafasi yetu hayo mengine tuwaachie wao psrsAsubiri bila shida
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hii waoooh sio yakiume aseeh[emoji23][emoji23][emoji23]
pdf inatoka soon tusubiriMm hakuna mabadiliko tangu ilivyochange ile majuz nafkr.
KabisaYes sema tulishafanya kwa nafasi yetu hayo mengine tuwaachie wao psrs
😂😂😂😂Atupe madini tukawakande utumishi hahhh@ahmet ujue tunakusubria utupe Madini ya experience yako ya oral ss majobless tujifunze ulisema usiku tunakusubria kk wizy makini kukusikiliza
😂😂😂😂asa anatukazia utelezi aseeehHuyo moneytalk ni mwanamke mbona iko wazi kabisa mkuu.
Pengine ana mtu wake mkuu, pia mtandaoni inabid uwe smart sna wanao fake ni percent kubwa sna.😂😂😂😂asa anatukazia utelezi aseeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me mwenyewe sijiamini amin kwa nilichokifanya kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh wamekukanda mkuu??mpka useme we ni ke au vipi
ila ukubwa mateso[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Pole mkuu ndo ukubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
UwiiiiKesho mnaamka na matokeo ili wa kusafiri waanze mapema.