Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu embu naomba muongozo wenu mara moja posti zilizopita za kuitwa kazini kwenye tangazo walihitaji watu watano lakini kuitwa kazini wameita watu watatu inamaana hao wawili waliobaki watachukuliwa kanzidata au ipoje hapo wakuu na ni taasisi mbili zimefanya hivyo na oral watu walikua nane inamaana hao watano walifeli oral naombeni muongozo wakuu
 
Inawezekana baadaye wakachukua kanzi data, asilimia kubwa hao wengine hawakufanya vizuri
 
Hao uwezekano mkubwa wamefeli mzee so hapo inaezekana nafasi zikajazwa kutoka database baadae
 
Kama kanzi data wangekuwepo wanaofit hapo na uhitaji upo means wangewachukua,huenda Wakatangaza Tena hizo nafasi
 
Kama kanzi data wangekuwepo wanaofit hapo na uhitaji upo means wangewachukua,huenda Wakatangaza Tena hizo nafasi
Yah hapo itakua kanzi data hakuna backup inaweza pia isitangazwe exctly..maana kuna taasisi ya posta ilitoa kazi mwez wa 2 kama sjakosea na kuna post zilikua 5 wakaita 3 na ndo mpaka wa leo hakuna alieitwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…