At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
NdiooDuh ss atkupaje hint kwni yy ni mtu wa computer mkuu?
Nimeona hivyo. May be nimechanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiooDuh ss atkupaje hint kwni yy ni mtu wa computer mkuu?
Sawa kila la kheri kwenye majukumu menginendio mkuu,niwahi stand mapemaa
Kuwa brief lakini hata kama hujamaliza inakuwa Haina tabu sanaShukran sana bro Ahmet ,, kweny presentation unabalancije muda wako Kama ni dk 10 au 5 au unaweza kuprisent hata Kama muda ukaisha ukawa ujamaliza ulichokiandaa..ikawa poa tu.... VITU GAANI VYA KUEPUKA KWENY PRESENTATION ILI IWE SAWA,,
Inawezekana baadaye wakachukua kanzi data, asilimia kubwa hao wengine hawakufanya vizuriWakuu embu naomba muongozo wenu mara moja posti zilizopita za kuitwa kazini kwenye tangazo walihitaji watu watano lakini kuitwa kazini wameita watu watatu inamaana hao wawili waliobaki watachukuliwa kanzidata au ipoje hapo wakuu na ni taasisi mbili zimefanya hivyo na oral watu walikua nane inamaana hao watano walifeli oral naombeni muongozo wakuu
MZEE WA SUPPLEMENTARY!Kuwa brief lakini hata kama hujamaliza inakuwa Haina tabu sana
Hao uwezekano mkubwa wamefeli mzee so hapo inaezekana nafasi zikajazwa kutoka database baadaeWakuu embu naomba muongozo wenu mara moja posti zilizopita za kuitwa kazini kwenye tangazo walihitaji watu watano lakini kuitwa kazini wameita watu watatu inamaana hao wawili waliobaki watachukuliwa kanzidata au ipoje hapo wakuu na ni taasisi mbili zimefanya hivyo na oral watu walikua nane inamaana hao watano walifeli oral naombeni muongozo wakuu
Kama kanzi data wangekuwepo wanaofit hapo na uhitaji upo means wangewachukua,huenda Wakatangaza Tena hizo nafasiWakuu embu naomba muongozo wenu mara moja posti zilizopita za kuitwa kazini kwenye tangazo walihitaji watu watano lakini kuitwa kazini wameita watu watatu inamaana hao wawili waliobaki watachukuliwa kanzidata au ipoje hapo wakuu na ni taasisi mbili zimefanya hivyo na oral watu walikua nane inamaana hao watano walifeli oral naombeni muongozo wakuu
Imemkuta jamaa yng dah noma sana walikua 7 nafsi 3 wameitwa 2 so 1 imekosa mtu jamaa wamekandwa hao wa 5...utumishi sio poaKama kanzi data wangekuwepo wanaofit hapo na uhitaji upo means wangewachukua,huenda Wakatangaza Tena hizo nafasi
Yah hapo itakua kanzi data hakuna backup inaweza pia isitangazwe exctly..maana kuna taasisi ya posta ilitoa kazi mwez wa 2 kama sjakosea na kuna post zilikua 5 wakaita 3 na ndo mpaka wa leo hakuna alieitwa tenaKama kanzi data wangekuwepo wanaofit hapo na uhitaji upo means wangewachukua,huenda Wakatangaza Tena hizo nafasi
Daah Tena ratio ilikua nzuri kabisa.Imemkuta jamaa yng dah noma sana walikua 7 nafsi 3 wameitwa 2 so 1 imekosa mtu jamaa wamekandwa hao wa 5...utumishi sio poa
Aisee hapo sijui shida niniYah hapo itakua kanzi data hakuna backup inaweza pia isitangazwe exctly..maana kuna taasisi ya posta ilitoa kazi mwez wa 2 kama sjakosea na kuna post zilikua 5 wakaita 3 na ndo mpaka wa leo hakuna alieitwa tena
Nafasi zinapotea aisee sio poa nafsi 1 ni kubwa sana kwa umma wa jobless mtaaniAisee hapo sijui shida nini
Kweli aisee jobless Wana matarajio makubwa sana ,psry hawajui tuNafasi zinapotea aisee sio poa nafsi 1 ni kubwa sana kwa umma wa jobless mtaani
Hao waliokosa wajue hata kanzidata hawapo, wasisite kuomba nafasi kadri zitakavyokuwa zinatangazwaImemkuta jamaa yng dah noma sana walikua 7 nafsi 3 wameitwa 2 so 1 imekosa mtu jamaa wamekandwa hao wa 5...utumishi sio poa
Kbsa ndo hali halisi.Hao waliokosa wajue hata kanzidata hawapo, wasisite kuomba nafasi kadri zitakavyokuwa zinatangazwa
TrueHao waliokosa wajue hata kanzidata hawapo, wasisite kuomba nafasi kadri zitakavyokuwa zinatangazwa