Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wewe ndo umeeleweka kaka.. shukran
 
Mkuu, hv Profile ya Ajira portal Ikiwa na 100% inakupa nafasi kubwa ya kuajiriwa kama umefanya saili Hadi Oral compared na yule mwenye asilimia chache kama 90 kushuka chini..?
Mmh hilo sija kuwa na experience nalo ila sidhani kama ndiyo sababu ya kuajiriwa mimi nadhani ukishakidhi vigezo vya kuaplly kazi imeisha kinachofwata writen na oral kufaulu kwako tu
 
Mmh hilo sija kuwa na experience nalo ila sidhani kama ndiyo sababu ya kuajiriwa mimi nadhani ukishakidhi vigezo vya kuaplly kazi imeisha kinachofwata writen na oral kufaulu kwako tu
Ok.. maana naona tu Kuna disparities kati ya profile la Huyu na yule Sasa nikataka nijue kama Zina impacts yoyote kwenye mambo ya kupata hii Mirija ya asali
 
Join HR TANZANIA TUSHEE AJIRA, ELIMU NA FURSA ZA KAZI, USAILI NK. NA WENGINE
 
Ahsante kwa kushare, humu ndio salama zaidi ya huko.

Hapa wanasoma watu wengi na itaendelea kuwepo kwa faida ya vizazi vijavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…