Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Usitegemee sana status subiri pdfIssue ya status mmehitimishaje?!
Pdf subiri mkuuPlease tunaomba kujua status zao zinasemaje, Kuna cha kujifunza
Mkuu utakua ushafika Dodoma probablyUsitegemee sana status subiri pdf
Bado ndio natoka lindi leoMkuu utakua ushafika Dodoma probably
mmmh hizo status lazima tu zina maana haziwezi badilika tu hivihivi ila nahisi nishakandwa kiukweliUsitegemee sana status subiri pdf
Zina maana ambayo wewe huwezi kuielewammmh hizo status lazima tu zina maana haziwezi badilika tu hivihivi ila nahisi nishakandwa kiukweli
Kwako imebadilikajemmmh hizo status lazima tu zina maana haziwezi badilika tu hivihivi ila nahisi nishakandwa kiukweli
Kila la khery kakaBado ndio natoka lindi leo
Kwanini mkuummmh hizo status lazima tu zina maana haziwezi badilika tu hivihivi ila nahisi nishakandwa kiukweli
Jiandaeni watatoa hata usiku mnene,ila muhimu kucheck status wanaanziaga huko kwanzaOral ni kesho kwa mujibu wa ratiba, lakini mpaka muda huu pdf haijatoka, written ilikua jmosi, inawezekanaje hii?
Pdf itatoka na oral itapigwa kama ratiba inavyosemaOral ni kesho kwa mujibu wa ratiba, lakini mpaka muda huu pdf haijatoka, written ilikua jmosi, inawezekanaje hii?
Kuna usafiri wa umma kutoka huko hadi Dom?Bado ndio natoka lindi leo
Yanatoka usikuOral ni kesho kwa mujibu wa ratiba, lakini mpaka muda huu pdf haijatoka, written ilikua jmosi, inawezekanaje hii?
Na wasitoe kabisa. Acha tuendelee kutalii mji wa Dodoma halafu kesho saa moja tunajazana pale ofisini kwao wote tukiwa na backpacks zetu tayari kwa kuondoka au kuendelea kutalii kusubiria ASA kwa waliofanya written yaoOral ni kesho kwa mujibu wa ratiba, lakini mpaka muda huu pdf haijatoka, written ilikua jmosi, inawezekanaje hii?
Ndio mkuu, kuna basi linatoka Mtwara to Dodoma kla siku.Kuna usafiri wa umma kutoka huko hadi Dom?
We huwajui utumishi hata saa 6 usiku watatoaOral ni kesho kwa mujibu wa ratiba, lakini mpaka muda huu pdf haijatoka, written ilikua jmosi, inawezekanaje hii?
Na kesho oral we sogea eneo la tukioWe huwajui utumishi hata saa 6 usiku watatoa
Atasogeaje bila kuitwa? Au kuendeleza utalii wa ndani maana mipori ile na milima ya UDOM ni utalii toshaNa kesho oral we sogea eneo la tukio
Bs awe mpole asubiri kuitwa hata saa 6 usku na kesho oralAtasogeaje bila kuitwa? Au kuendeleza utalii wa ndani maana mipori ile na milima ya UDOM ni utalii tosha