Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oral ni kesho kwa mujibu wa ratiba, lakini mpaka muda huu pdf haijatoka, written ilikua jmosi, inawezekanaje hii?
Na wasitoe kabisa. Acha tuendelee kutalii mji wa Dodoma halafu kesho saa moja tunajazana pale ofisini kwao wote tukiwa na backpacks zetu tayari kwa kuondoka au kuendelea kutalii kusubiria ASA kwa waliofanya written yao
 
Back
Top Bottom