Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nyaraka unazoenda nazo kwenye written ndio nenda nazo kwenye oral.Kwa mliowahi kwenda oral za utumishi, mlienda na CV au ni vyeti tuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyaraka unazoenda nazo kwenye written ndio nenda nazo kwenye oral.Kwa mliowahi kwenda oral za utumishi, mlienda na CV au ni vyeti tuu?
Hakuna changamoto ila hayo mawili(ambayo mostly ni kwenye vyeti) lazima yawe sawa na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDASorry guys hivi majina ya NIDA yana uhusiano na majina aya academics,let say NIDA majina yanakuwaga matatu, academics certificate mawili na birth certificate matatu je Kuna changamoto hapo?
Atuone wanasheria aandaliwe kiapo cha majina au deed poll kama majina yake yana shida. Hao jamaa wanazuiga raia pale kwenye ukaguzi wa vyeti kwa sababu ya majina kuwa na dosari. Kiapo anakuwa anatembea nacho.Hakuna changamoto ila hayo mawili(ambayo mostly ni kwenye vyeti) lazima yawe sawa na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA
Mfano.
Vyeti: JOBLESS HATHAMINIKI
Cheti kuzaliwa/NIDA: JOBLESS HATHAMINIKI MTAANI
Hapo hakuna utata.
Utata utakuja endapo.(Angalia utaofauti kwa makini halafu uniambie huo utofauti)
Vyeti: JOBLES HATHAMIKI
Cheti kuzaliwa/NIDA: JOBLESS HATHAMINIKI MTAANI
Huwa wanaanza kutupia kwenye account mkuu, anza kuchungulia huko.Utumishi wamekumbwa na nini jamani? Au bado wanasahihisha ? Nilifanya usaili tangu jumamosi wakatuambia majibu yatatoka jumapili jioni lakini mpaka sasahivi bado hawajaweka na walisema kesho ni oral.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sogea eneo la tukio mkuuUtumishi wamekumbwa na nini jamani? Au bado wanasahihisha ? Nilifanya usaili tangu jumamosi wakatuambia majibu yatatoka jumapili jioni lakini mpaka sasahivi bado hawajaweka na walisema kesho ni oral.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Si ajabu yakatoka kesho saa 12 asubuhi usicheze mbali na eneo la tukioUtumishi wamekumbwa na nini jamani? Au bado wanasahihisha ? Nilifanya usaili tangu jumamosi wakatuambia majibu yatatoka jumapili jioni lakini mpaka sasahivi bado hawajaweka na walisema kesho ni oral.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Alf wanaotangulia kuona kweny acc ni wale wa selected wengine unaeza subria wee kumbe tyr ushakandwaHuwa wanaanza kutupia kwenye account mkuu, anza kuchungulia huko.
Ukiona mpaka saa tatu hawajaweka kwenye account ujue baba jeni bye byeAlf wanaotangulia kuona kweny acc ni wale wa selected wengine unaeza subria wee kumbe tyr ushakandwa
Oral inafanyika lini?tari &Asa naona updates za tokeo kimya sana afadhali watoe tujue tuendelee kubakia dom ama turudi vijiweni kwetu
Mzigo lazima utoke usiku huu huu.Utumishi wamekumbwa na nini jamani? Au bado wanasahihisha ? Nilifanya usaili tangu jumamosi wakatuambia majibu yatatoka jumapili jioni lakini mpaka sasahivi bado hawajaweka na walisema kesho ni oral.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
TARI tayari. Check status yakoOral inafanyika lini?
kesho mkuuOral inafanyika lini?
Wanasema ni mvurugano tu😂😂😂😂😂Wale mliopata kazi naona mnasema mambo ya status,huwa inakuwaje.
Lazima yatoke leo usikukesho mkuu
nimechezea kipigo kikali sana ASa Marketing. ngoja nione pdf itasema nimescore ngapi ,ila account nina not selected for oral wakuuLazima yatoke leo usiku
Haikuwa bahati kiongozinimechezea kipigo kikali sana ASa Marketing. ngoja nione pdf itasema nimescore ngapi ,ila account nina not selected for oral wakuu