Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sorry guys hivi majina ya NIDA yana uhusiano na majina aya academics,let say NIDA majina yanakuwaga matatu, academics certificate mawili na birth certificate matatu je Kuna changamoto hapo?
Hakuna changamoto ila hayo mawili(ambayo mostly ni kwenye vyeti) lazima yawe sawa na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA

Mfano.

Vyeti: JOBLESS HATHAMINIKI

Cheti kuzaliwa/NIDA: JOBLESS HATHAMINIKI MTAANI

Hapo hakuna utata.

Utata utakuja endapo.(Angalia utaofauti kwa makini halafu uniambie huo utofauti)

Vyeti: JOBLES HATHAMINIKI

Cheti kuzaliwa/NIDA: JOBLESS HATHAMINIKI MTAANI
 
Atuone wanasheria aandaliwe kiapo cha majina au deed poll kama majina yake yana shida. Hao jamaa wanazuiga raia pale kwenye ukaguzi wa vyeti kwa sababu ya majina kuwa na dosari. Kiapo anakuwa anatembea nacho.
 
Huwa wanaanza kutupia kwenye account mkuu, anza kuchungulia huko.
 
Si ajabu yakatoka kesho saa 12 asubuhi usicheze mbali na eneo la tukio
 
Haya mambo ya Ajira Utumishi ni Mungu tu ndio anapanga.Unaweza ukajiandaa vizuri written ukapigwa,unaweza enda umesoma kawaida, mtihani ukaja upande wako ukaenda hatua ya pili.
Yote kwa yote Kupata kazi Sasa ni Mungu tu kapanga.Yaani ukifika Wakati wako ni unakuwa umefika hakuna wa kuzuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…