๐๐๐๐Tatizo jobless wanamaind lakini comment huwa zipo na wengi huwa wanapewa sema wanakuwaga wamepanic ,ipo siku nitakuja kuwapa ushuhuda wa comment nilizopewaHahaha ..wale waliopewa comment nzuri ,wazitoe tuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in wizy voice ... tunasubria ushuhuda wa comment ss from panel [emoji23][emoji23][emoji23]
Wengne hatujawai pewa [emoji23][emoji23]
Masijala ya wazi๐๐๐ Leo umenusia dirishani kabisa mkuu
Hahaha hatari sanaKuna mtu alimtabiria Ahmet kuwa lazima atoboe
Hata ndani huingiiAhmet yeye kanusa katika kidirisha cha barua kule
Sifa kitambulisho unafika kidirishani unakinga barua yako unasepa auHata ndani huingii
๐๐๐๐hahhhh Kuna comment ukipata tu inabidi uendelee na mishe zingineUnapewa comment " pambana" af unaendelea kusubir placement ๐ ๐
๐๐๐๐Sifa kitambulisho unafika kidirishani unakinga barua yako unasepa au
๐๐๐gari zimekuwa nyingi au?Ila Dodoma Kuna foleni hivi, dah
Soon na ww unaenda kinga barua yako inshallah๐๐๐๐
Inshallah kiongozi ๐๐๐nianze kupost Subaru yangu sasaSoon na ww unaenda kinga barua yako inshallah
Waachie placement tuInshallah kiongozi ๐๐๐nianze kupost Subaru yangu sasa
Wiki hii wametubania kinoma aseehWaachie placement tu
Haiendi bure wataachia tuWiki hii wametubania kinoma aseeh
adimu sana huuKuna mkeka umekuwa Adimu wa Placement
Tangazo la kuitwa kazini wa Kanzi dataView attachment 2438921
Ngoja tuwasubirieHaiendi bure wataachia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanamind et ..embu Ahmet awape ushuda wa comments zake alizopewaga na wakandaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo jobless wanamaind lakini comment huwa zipo na wengi huwa wanapewa sema wanakuwaga wamepanic ,ipo siku nitakuja kuwapa ushuhuda wa comment nilizopewa
Na zingine ukipewa unajua hapa sina changu
Wanaona nawasema๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanamind et ..embu Ahmet awape ushuda wa comments zake alizopewaga na wakandaji