Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahaha ..wale waliopewa comment nzuri ,wazitoe tuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in wizy voice ... tunasubria ushuhuda wa comment ss from panel [emoji23][emoji23][emoji23]
Wengne hatujawai pewa [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Tatizo jobless wanamaind lakini comment huwa zipo na wengi huwa wanapewa sema wanakuwaga wamepanic ,ipo siku nitakuja kuwapa ushuhuda wa comment nilizopewa
Na zingine ukipewa unajua hapa sina changu
 
Kuna mkeka umekuwa Adimu wa Placement
Tangazo la kuitwa kazini wa Kanzi data
Screenshot_20221207-202525.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo jobless wanamaind lakini comment huwa zipo na wengi huwa wanapewa sema wanakuwaga wamepanic ,ipo siku nitakuja kuwapa ushuhuda wa comment nilizopewa
Na zingine ukipewa unajua hapa sina changu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanamind et ..embu Ahmet awape ushuda wa comments zake alizopewaga na wakandaji
 
Back
Top Bottom