Watano,sita au sabaKwenye oral interview, panel inakuwa na wakandaji wangapi jaman?
😂😂😂😂Alikuwa hovesHuo ujasiri wa kulala wkt una usaili wa kuongea ulipata wapi?.
Nafikiri inategemeana na watu walioenda kusailiwa siku hiyo na taasisi yenyewe
5, nyingine nilienda wa 3 hii panel zilikua mbili.Nafikiri inategemeana na watu walioenda kusailiwa siku hiyo na taasisi yenyewe
Orci kwenye panel yenu walikuwa wangapi pale?
Na kila mmoja anauliza swali lake au yanaulizwa na mtu mmoja! Na pia maswali ya oral interview yanakuwa fixed kwa watu wote walioitwa oral ya kada husika? Au yanatofautiana kila mtu anaulizwa yakwake?Watano,sita au saba
Atuongezee foleni, tunaoning'iaga kwenye mamboba mbona tutakoma[emoji3]Atufanyie fujo mtaani
Sawa sawa nakumbuka panel ilituacess sisi pamoja na medical officers Ilikua panel ya watu watano
😂😂😂😂Sio fair kabisa hahhhAtuongezee foleni, tunaoning'iaga kwenye mamboba mbona tutakoma[emoji3]
Kila mtu na swali lake paleNa kila mmoja anauliza swali lake au yanaulizwa na mtu mmoja! Na pia maswali ya oral interview yanakuwa fixed kwa watu wote walioitwa oral ya kada husika? Au yanatofautiana kila mtu anaulizwa yakwake?
Maswali yanakuwa Yale yale kwa kila mtu ndo maana wanachukuaga simu kabla ya usailiNa kila mmoja anauliza swali lake au yanaulizwa na mtu mmoja! Na pia maswali ya oral interview yanakuwa fixed kwa watu wote walioitwa oral ya kada husika? Au yanatofautiana kila mtu anaulizwa yakwake?
Inatokea kama mumekalishwa sana hadi mnachoka hatimaye kusinzia kunafuatia.Huo ujasiri wa kulala wkt una usaili wa kuongea ulipata wapi?.
Kwanza kusubirishwa tu pale nje ni interview nyingine aseeeh unakaa mpka unachokaInatokea kama mumekalishwa sana hadi mnachoka hatimaye kusinzia kunafuatia.
Mimi mwenyewe niliwahi kusinzia nasubiri oral, nilikuja kushtuliwa ghafla na wenzangu baada ya kufuatwa niingie kwenye mkando.
Baada ya kuamshwa hiyo ghafla, akili ikawa active hapo hapo na kufocus kwenye mkando
Ni sahihi.Maswali yanakuwa Yale yale kwa kila mtu ndo maana wanachukuaga simu kabla ya usaili
Tuliandikishwa na kunyang'anywa simu saa 1 asubuhi, tulikuja kuanza kuitwa saa 6 mchanaKwanza kusubirishwa tu pale nje ni interview nyingine aseeeh unakaa mpka unachoka
😂😂😂😂Wakati huo ushapigwa na baridi mpka ikaisha ,likaanza jua sasaTuliandikishwa na kunyang'anywa simu saa 1 asubuhi, tulikuja kuanza kuitwa saa 6 mchana
Eti TA nao huwa wanawekwa kanzidata?Ni sahihi.
Lazima yawe yale yale ili mshindanishwe na wachukuliwe waliofaulu alama za juu, wa alama za 50+ ndio kanzi data itawahusu endapo nafasi kwa muda huo ni chache
Kila post ina data baseEti TA nao huwa wanawekwa kanzidata?
November baridi lilikuwa hamna, Jua ndio lilituchapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati huo ushapigwa na baridi mpka ikaisha ,likaanza jua sasa
Kusubilia placement ni kazi sana tena sanaSoon watatoa