Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Practical wengine hatufanyiUkipata kazi uwa inabadilika na kuwa selected for pratical na sio shortlisted...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Practical wengine hatufanyiUkipata kazi uwa inabadilika na kuwa selected for pratical na sio shortlisted...
Hata uandikiwe not selected unasubilia pdfHaina maana yoyote ingekua na maana ungeshaelewa. Ukifika Oral Interview sahau status subiri PDF
Shukran mkuu..Inategemea na taasisi ila sio chini ya miezi 2 mpaka 3. Na database ni haizidi mwaka mmoja
Kumbe hata mwaka unaweza fika !!!Kuitwa kazini inategemeana na uharaka wa taasisi yako unaweza kuchukua mwezi,miezi miwili,mitatu ,minne au hata mwaka[emoji23]
Na kukaa data base hesabu miezi sita baada ya placement kutoka
Ndio hata uambiwe not received as long as ulifika Oral Interview achana na StatusHata uandikiwe not selected unasubilia pdf
Mimi niliwakuta watatu tuu, japo mwanzoni kabla ya usahili walijitambulisha wanne. Wakati naingia mmoja hakuwepo na niliwakuta wanaume tuu. Yule wa nne alikuwa mwanamama.Huo ujasiri wa kulala wkt una usaili wa kuongea ulipata wapi?.
Status zina maana sana tena sana ila sasa kuelewa ndio huwezi ila not selected mmmh ngumuNimeiangalia app status haina kitu!!
Jiajiri😂😂😂😂Kusubilia placement ni kazi sana tena sana
😂😂😂😂Endelea kuteseka kiongozi ndo ujobless huoPlacement vp tunateseka
Yes kwenye programming hakunaga kitu kisicho na maana hata mkato una maana yake ,sema Yule user wa system ndo anajua alichokimaanisha paleStatus zina maana sana tena sana ila sasa kuelewa ndio huwezi ila not selected mmmh ngumu
Pdf uhakika not shortlisted nasubiri ushuhuda wa stutus ya aina hii.....Subirini pdf
😂😂😂😂😂Hahhhh Kaka not shortlisted afu usubiri pdf??Pdf uhakika not shortlisted nasubiri ushuhuda wa stutus ya aina hii.....
Sawa kiongoziSubirini pdf
Wapo wanasubiri bhana 😂😂😂😂😂😂😂😂Hahhhh Kaka not shortlisted afu usubiri pdf??
😂😂😂😂Kuna aliwahi kupata na ilikuwa not shortlisted??Wapo wanasubiri bhana 😂😂😂
Wiki hii imekuwa ngumu sana 😬😬😬Sijasikia hurufu yoyote ya placement hadi sasa au nina mafua nini......✍️