Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

HATA HII PLACEMENT YA MCHANA HAINA JINA LANGU!
Pole sana mkuu, haikuwa bahati yako.

JKCI walinipiga kibuti mapema kwenye shortlist for written, naona wameharakisha kuingiza watu kwenye Mrija.

wizy ORCI wanaweza kutoa hivi punde kama kweli wana uhitaji na nguvu kazi ya haraka
 
Jkci uhitaji ni mkubwa sijajua orci kama wanauhitaji huo😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom