Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huo ujasiri wa kulala wkt una usaili wa kuongea ulipata wapi?.
Inatokea kama mumekalishwa sana hadi mnachoka hatimaye kusinzia kunafuatia.

Mimi mwenyewe niliwahi kusinzia nasubiri oral, nilikuja kushtuliwa ghafla na wenzangu baada ya kufuatwa niingie kwenye mkando.

Baada ya kuamshwa hiyo ghafla, akili ikawa active hapo hapo na kufocus kwenye mkando
 
Kwanza kusubirishwa tu pale nje ni interview nyingine aseeeh unakaa mpka unachoka
 
Back
Top Bottom