Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa tuliokuwa tunasubiria placement IAE status zilikuwa zinafanana, ulikuwa ukiona mabadiliko kwako basi na mwenzako ndio hivyo hivyo lakini wengine wamepata na wengine wamekosa
 
Mimi naamini stutus ina maana kubwa mno tu,,,,Mimi pia week iliyopita imebadirika imekuwa selected for oral na number ya pamoja na ratiba
 
PDF ndio kila kitu,sidhani kama status ina maana yoyote,status ni kutoka Written kwenda Oral tu....Kumbukumbu Kubwa kwako ni PDF tu
 
Status Zina maana kaka sema sisi ndo hatujui hizi maana baada ya oral ,lakini Zina maana kubwa tu yale sio maandazi aseeh ni system inafanya kazi kwakuwa guide na output itoke kitu Fulani
 
PDF ndio kila kitu,sidhani kama status ina maana yoyote,status ni kutoka Written kwenda Oral tu....Kumbukumbu Kubwa kwako ni PDF tu
Inaweza kuwa hazina maana kuwa umepata au umekosa lakini unadhani kwanini ziwepo?
Kwanini isingebaki tu selected for oral moja kwa moja au isingebaki shortlisted for written ,maana hata ukifaulu oral matokeo si tunayaonaga kwenye pdf?kwanini huwa wanaenda kukuandikia na kwenye account???ukielewa hapa utajua status still Zina maana mzee kwa kila hatua
 
Ushuda wote humu sijawahi sikia mtu akawa not shortlisted then kwa placement akawemo its seems hizi stutus zina maana tu sii bureee
 
status Zina maana yake na kila inapobadilika ina maana ya hatua zinazofanywa huko ,lakini hatujui maana yake nafikiri hapa tunaelimishana at the end ukiona jina hata kama hutatoa feedback lakini ukweli utabaki Zina maana yake
 
Kwahiyo zinapobadilika badilika ujue pdf haipo mbali coz Ahmet alikuwa shortlisted siku tatu kabla ya placement ikabadilika inamaana ilikuwa ukaguzi nini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ