Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tusubiri muongozo mkuu maana mwenyewe nazidi kudidimia.
 
Poa poa mkuu
 
Naomba kuuliza. Hivi marks za mtihani wa written na za oral huwa zinajumuishwa kumtambua mtu aliyepata kazi au huwa kila moja inajitegemea?
 
Una uzoefu kwa kufika oral kwenye saili za utumishi??
 
Msaada Profile Passport size/picha Inashindwa ku- upload kwenye ajira portal inachukua muda mrefu na kufail nafanyaje?

Mkuu, jaribu kuangalia kipimo cha pasipoti saizi unayopandisha kama kinaendana na kinachohitajika.

Hata hivyo usisahau kukagua kama kiwango cha kasi ya intaneti kinaruhusu kupandisha kitu.

Mwisho kabisa, kama yote mawili hayajasaidia, endelea kurudia rudia kila baada ya kipindi fulani cha muda.
 
Hahahhaa, kakandwe(kajaribu kufanya) kwanza uone mbivu na mbichi.
 

Hii sasa ni hatari, hizo alama zinafanya watu wajihisi kama wamerudi kuwa wanafunzi tena.
 
Kuna namna watu nahisi wanapata maswali
 
Hahahahaha!Dah Kuna haja ya kuajiriwa tuu ,bila kufanyiwa interview [emoji3][emoji3][emoji3],Kuna mtu hapo akijitahidi sana 45 mpaka 50,huyu Hela zake za kwenda Dodoma zitakwisha tuu na hakuna la maana anapata huko kwenye usahili...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hiyo sub ni komesha kabisa
 
niliona ile marking scheme ya pepa ilovuja ya tra majib n short and clear hakuna easay hapo
kuna mwanangu pia alifika oral alikua anajib maelezo mengi wakamwmbia just menthion tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa unachekesha sana ,ikishindikana na hapo bac utakuwa una mikosi ya Raila odinga
 
Hivi kwa mwenye experience mfano umepata nafasi ya kazi (Utumishi) ikakutaka ndani ya siku 14 uwe umewasili kwa mwajiri hukufanya hivyo na nimuajiriwa tayari ulitaka kuhama idara. barua ya mwajiri wako wa awali anakupa zegwe kukupa barua na siku zimeisha hadi wenzako cheque number wamepatiwa na maelekezo yote ya utumishi vipi hapo nafasi anayo tena au inarudi Utumishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…