Ndugu zangu
Baada ya kupata namba ya ERB na kujisajili full ajira portal
Nikaenda kuangalia matokeo ya kada yangu waliopita written interview. Ili na mimi nijue naanzia wapi.
Nakuta cut off point ilikuwa 84.2% nikasema labda pepa ilikuwa rahisi.Japokuwa kuna mwamba aligonga 5%. Hii ilikuwa PURA
Jana tena cut off point nakuta ni 90%,wakubwa mbona niliingiwa na hofu pamoja na ubaridi sana.Pepa hazivuji kweli hizi,maana 90% ni nyingi sana. Hii ilikuwa ERB.
Wakati mimi mara ya mwisho kupata hizo maksi ni Advance.
Mimi nina hisi,hizi pepa zimeanza kuvuja kama ile pepa ya TRA.
Au nyie mnaonaje wakuu? Kutoboa mbona naona ni kipengele sana.
View attachment 2354205View attachment 2354206