Hongera brother,BREAKING NEWS [emoji91][emoji91][emoji91]
MUNGU AMEJALIA KIJANA WENU NIMETOBOA KWENYE MRIJA WA ASALI
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu.BREAKING NEWS [emoji91][emoji91][emoji91]
MUNGU AMEJALIA KIJANA WENU NIMETOBOA KWENYE MRIJA WA ASALI
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120] unapokosa unaangalia ulipofanya mistake ,ili isijirudiePole sana mkuu, haikuwa bahati yako, next time ni nafasi yako.
Tuendelee kupambana
Sure unajifanyia masahihisho[emoji120][emoji120] unapokosa unaangalia ulipofanya mistake ,ili isijirudie
Huenda upo database keep wait bro[emoji120][emoji120] unapokosa unaangalia ulipofanya mistake ,ili isijirudie
Hongera sana kiongzi kwa kuingia kunyonya mrija wa asaliVibe la kunyonya asali liacheni jaman, kama ulie km ucheke.....Alhamdulilah!
Hongera kiongoziVibe la kunyonya asali liacheni jaman, kama ulie km ucheke.....Alhamdulilah!
Pongezi kwako mwanaVibe la kunyonya asali liacheni jaman, kama ulie km ucheke.....Alhamdulilah!
Hongera sana sana kiongozi ,ningeuliza ushuhuda wa status lakini ngoja nikae kimya jobless watanipiga mawe buree😂😂😂😂Vibe la kunyonya asali liacheni jaman, kama ulie km ucheke.....Alhamdulilah!
Wachache sana hao umeshawahi kwenda ukaona nyomi la utumishi??Ila wamepata ajira watu wengiiiii
Vibe la kunyonya asali liacheni jaman, kama ulie km ucheke.....Alhamdulilah!
Hongera sana mkuu,asali tamu sana vibe lake si mchezo😂😂Vibe la kunyonya asali liacheni jaman, kama ulie km ucheke.....Alhamdulilah!
Hongera sana Chief! Mungu akubariki katika majukumu yako mapya.Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu
Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590
Ukawe mtumishi mwema kiongoziWakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu
Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web na app kwangu mimi zipo kama inavyoonekana kwenye picha nilizoambatinisha hapo ....asanten sana wakuu,,,tuzidi kupambanaView attachment 2439591View attachment 2439590
Sawa sawaHongera sana Chief! Mungu akubariki katika majukumu yako mapya.
Dear Mngojea mrija wa Asali achana na mambo ya Status baada ya kufanya Oral Interview ni kujitia stress tu. Subiria PDF au Simu
[emoji120][emoji120]Ukawe mtumishi mwema kiongozi
Iliza kaka😂😂Hongera sana sana kiongozi ,ningeuliza ushuhuda wa status lakini ngoja nikae kimya jobless watanipiga mawe buree😂😂😂😂